Search

1011 results for Habel Chidawali :

 1. Mbunge alilia malipo waliopigana Vita ya Pili ya Dunia

  Mbunge wa Kibaha Mjini (CCM) Francis Koka ameihoji Serikali itauza lini mali zisizo na utata ili kuwalipa wanajeshi waliopigana Vita Kuu ya Pili ya Dunia akiwemo baba yake mwenye umri wa miaka...

 2. Waziri Silaa ‘akomalia’ kusoma makablasha bungeni

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo aliingia bungeni kwa mara ya kwanza akiwa na cheo hicho ambapo muda wote alionekana kusoma makablasha mbalimbali.

 3. Spika Tulia ataka wafanyakazi wa kujitolea wapewe kipaumbele katika ajira

  Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameiagiza Serikali kuja na utaratibu maalumu kwa wanaofanya kazi za kujitolea kabla ya kuwa na sheria ya kuwasaidia kupata ajira bila kikwazo zinapotolea.

 4. Naibu Waziri Mkuu Dk Biteko ‘asimamisha’ Bunge kwa shangwe

  Bunge limesimamisha shughuli zake kwa sekunde 68 wakati wabunge walipokuwa wakipiga makofi alipokuwa anaingia bungeni Naibu Waziri Mkuu Dk Doto Biteko.

 5. Mbunge Toufiq akomalia ujenzi kiwanda cha mafuta

  Mbunge wa Viti Maalumu, Fatuma Toufiq amehoji Serikali ina mkakati gani wa kuhakikisha mafuta ya kula yanazalishwa nchini kwa wingi.

 6. Mbunge ataka nyongeza kiwango mafao ya wastaafu

  Serikali imeeleza vipindi vinavyotumika kwa ajili ya kufanya tathimi ya kiuchumi katika kuboresha mafao ya watumishi.

 7. PRIME Misuguano ya uchaguzi isivyoacha watu salama

  Kuna usemi kuwa siku zote uchaguzi hauwezi kumwacha mtu salama. Ndivyo unavyoweza kuelezea masuala yatokanayo na uchaguzi katika ngazi mbalimbali nchini – ziwe za kisiasa au za kidini.

 8. PRIME Hizi hapa sababu miswada ya rasilimali kukwama

  Serikali imeondoa bungeni miswada ya marekebisho ya sheria za mamlaka ya nchi kuhusu umiliki wa mali na rasilimali asilia na ile ya mapitio na majadiliano kuhusu masharti hasi katika mikataba ya...

 9. Serikali yaendelea kupambana na tatizo la afya ya akili

  Serikali imesema kuwa tatizo la Afya ya akili ni kubwa hivyo wadau wanapaswa kushirikiana kuhakikisha huduma yake inapatikana na kufika kwenye jamii ikiwemo vijijini.

 10. Bunge lafunga mjadala suala la uwekezaji bandari

  Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa makata wa bandari kujadiliwa ikiwa tayari Bunge limeishamaliza majukumu yake ya awali, huku akisema linaweza kujadiliwa endapo litaletwa katika...

Previous

Page 2 of 102

Next