Dk Ndugulile wa Tanzania achaguliwa bosi mpya WHO Afrika Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk Faustine Ndugulile ameshinda nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika.
Dk Ndugulile kusuka, kunyoa uchaguzi WHO leo Dk Ndugulile ambaye ni mwanateknolojia, mtunga sera, mwanasiasa na mwakilishi wa wananchi kutoka Jimbo la Kigamboni, Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) anawakilisha nchi baada ya...
Mbu wa mijini tishio jipya homa ya dengue Magonjwa yanayoambukizwa na mbu katika maeneo mbalimbali, hasa ya maeneo ya mijini, yametajwa kuongezeka katika ukanda wa Afrika.
MPox yawa tishio duniani, panya wahusishwa Wataalamu wa uchunguzi wa virusi na vimelea vya magonjwa wamebaini chanzo cha virusi vya homa ya nyani, maarufu ‘Mpox’ ni panya wa msituni na si nyani.
VIDEO: Mambo sita yanayoathiri ubora wa mbegu za kiume Mwanamume anaweza kuzaliwa vizuri akapata matatizo yakaathiri mbegu zake au akazaliwa tayari ana shida katika mbegu zake, ingawaje wanaopata matatizo baadaye idadi yao inatajwa kuongezeka.
Kumbe mtoto anasikia, kuhisi upendo au hasira akiwa tumboni Mtoto ambaye hajazaliwa anaweza kusikia sauti, kuhisi upendo na hasira pia, hivyo wanasayansi wanashauri ni vyema mama kuwa katika hali nzuri katika kipindi cha ujauzito.
MSD yataja mikakati kushusha gharama za ‘dialysis’ Ili kufanikisha hilo, MSD imejikita katika ununuzi wa mashine na vitendanishi moja kwa moja kwa wazalishaji ili kuvipata kwa gharama nafuu, wakizingatia ubora.
PRIME Vipimo 10 muhimu kwa mwanaume anavyopaswa kuvizingatia, kuvipima Dk Mzige anasisitiza umuhimu wa kupima mara kwa mara na kuzingatia afya kwa kunywa maji na kuhudumia afya ya mkojo.
Huyu ndiye Ummy Mwalimu aliyedumu baraza la mawaziri kwa miaka 14 Usiku wa Agosti 14, 2024 unaweza usisahaulike haraka katika maisha ya kisiasa ya Ummy Mwalimu.
Homa ya nyani yatangazwa dharura ya kiafya Afrika Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Barani Afrika (Africa CDC) limetangaza dharura ya afya kwa umma kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox.