Matumizi ya gesi kwenye bajaji suluhu kupanda kwa nauli
“Ninatumia si chini ya Sh6,000 kila siku kutoka na kwenda kazini. Hizi ni fedha nyingi ukipiga hesabu ya mwezi na mwaka mzima,” anasema Mwalimu Agnes Paschal, anayefundisha shule ya msingi jijini...