PRIME Wabunge CCM mtegoni Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewatega wabunge wake, baada ya kutangaza mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu za kuwania nafasi hiyo kabla ya kuvunjwa kwa Bunge Juni 27, 2025.
Chadema kwenye mtego mwingine kanuni za maadili Wakati akieleza hayo, ndani ya Chadema hakujapatikana mwafaka iwapo Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, kesho ataungana na vyama vingine kwenda jijini Dodoma kusaini kanuni hizo.
ACT-Wazalendo yahofia kupuuzwa mageuzi sheria za uchaguzi, wagusia suala la Lissu Chama cha ACT-Wazalendo kimeonyesha wasiwasi kuhusu kutoweka kwa matumaini ya kupatikana kwa mabadiliko na utekelezaji wa sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa baadaye Oktoba 2025.
PRIME Kivumbi cha ‘No reforms, no election’ Katika ziara hiyo iliyotanguliwa na ya awali Kanda ya Nyasa, kumeshuhudiwa umati wa wananchi wakifurika katika mikutano ya hadhara huku wengine wakisimamisha hata misafara ya viongozi.
Majaliwa asisitiza mambo manne akiangazia uchaguzi mkuu Majaliwa amewataka viongozi wa dini, vyama vya siasa na mashirika yasiyo ya kiserikali, kuhamasisha wananchi wazingatie amani na utulivu wakati wa uchaguzi.
Majaliwa: Viongozi wa dini himizeni amani wakati wa uchaguzi Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini, vyama vya siasa na mashirika yasiyo ya kiserikali, kuhamasisha wananchi wazingatie amani na utulivu wakati wa uchaguzi.
PRIME Wabunge hawa Tanga tumbo joto, sababu hizi hapa “Kazini kwa wabunge wa majimbo 10 mkoani Tanga kuna kazi”, ndiyo lugha nyepesi inayoweza kutumika kutafsiri mtifuano na kivumbi cha kuusaka ubunge kinachoendelea katika mkoa huo.
Lissu: Tutaandamana siku ya uchaguzi kuuzuia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi...
Matarajio ya wadau ziara ya Rais Samia Angola Kuimarisha ushirikiano, kukuza biashara, mustakabali wa kinachoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni miongoni mwa mambo yanayotarajiwa katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini...
PRIME Ulimwengu aeleza mfanano wa G55 ya Chadema na ile ya CCM Wakati uamuzi wa watia nia wa ubunge wa Chadema wa kujiita G55 ukitajwa kuwakosea heshima waasisi wa jina hilo, aliyekuwa Katibu wa G55 ya mwaka 1993, Jenerali Ulimwengu amesema hakuna tatizo...