Tani 254 za sukari zaanza kutua Mwanza, wafanyabiashara wataka bei iongezeke
Kwa mujibu wa tangazo la Serikali Na. 40B lililotolewa Januari 23, 2024, kilo ya sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa itauzwa kati ya Sh2,650 hadi 2,800 kwa bei ya jumla na Sh2,800 hadi Sh3,000...