Wananchi Kiteto watoa ekari 5 ujenzi kituo cha Polisi
Wananchi wa Olengasho, Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto mkoani Manyara, wametoa eneo la ekari 5, kwa ajili ya ujenzi wa Kituo kidogo cha Polisi, Kata ya Partimbo ambayo inakabiliwa na migogoro...