Mfahamu Zanini, mwanamke anayefanya kazi za ndani miaka 20 kwa bosi mmoja
Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya kikatili yanayodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa ndani, ikiwamo kuwaua au kuwapiga watoto wa mabosi zao wakati wazazi husika wakiwa hawapo nyumbani,