Lwakatare: Profesa Lipumba akigombea naondoa jina langu
Kada mkongwe wa Chama cha Wananchi (CUF), Wilfred Lwakatare, mmoja wa waliochukua fomu kuwania uenyekiti wa chama hicho, amesema endapo mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba...