Serikali kufutia leseni vyuo 124 vya udereva Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani kimevifungia vyuo vya mafunzo ya udereva 124 kutokana na kukosa sifa ya kutoa taaluma hiyo.
Majiha awatoa kwenye reli Kiduku, Mwakinyo Ni Fadhil Majiha! Huyu ndiye 'mwamba' wa masumbwi kwa sasa nchini akiwatoa kwenye reli nyota wote, akiwamo Twaha 'Kiduku' Kassim na Hassan Mwakinyo.
Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Lebahati (35-37) anatuhumiwa kumtorosha mtoto wa kiume wa bosi wake na kwenda kuishi naye kinyumba kwa miezi mitano mfululizo huku akimlawiti.
Shirika la Posta lashauriwa kukumbatia Tehama Shirika la Posta Tanzania limetakiwa kuyapa kipaumbele matumizi ya Tehama ili kuendana na kasi ya ushindani ya utoaji huduma na nchi zilizoendelea.
PRIME Latra yajipanga kupiga mnada bajaji korofi Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imeanza mchakato kuomba ruhusa ya Mahakama ya kuzipiga mnada bajaji zitakazomatwa zaidi ya mara moja zikiendesha shughuli zake bila leseni.
Madereva daladala Arusha wagoma, abiria wapanda toyo Wakazi wa Jiji la Arusha wakiwamo wanafunzi waliofungua shule leo wamepitia msoto wa hali ya juu kutokana na kukosa usafiri.
Korti yawaachia 14, wakaa rumande siku 642 bila kesi kuendelea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru watu 14 baada ya kukaa mahabusu kwa siku 642 wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa vinywaji vyenye...
Watafiti wagundua viuatilifu vya kuangamiza mmea hatari nchini Wanasayansi kutoka Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) wamefanikiwa kubaini viuatilifu vinavyoweza kuangamiza mmea hatari nchini ujulikanao kama 'gugu karoti'.
Wasabato wafuturisha waumini wa Kiislamu kudhihirisha upendo Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Jimbo la Nyanza wamewafuturisha waumini wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Shinyanga kama ishara ya mahusiano mema na ushirikiano kati ya waumini wa dini na...
Elon Musk kuwekeza Tanzania Wakati Tanzania ikipokea maombi ya huduma ya intaneti kwa njia ya setelaiti (Starlink), wadau wamesema itachochea uchumi wa kidijitali na itakuwa nafuu na yenye kasi.