PRIME Mobetto atoa kauli Aziz Ki kuondoka Tanzania Mlimbwende Hamisa Mobetto amejibu kile walichokuwa wakijiuliza Watanzania waliowengi kuhusu mumewe Aziz Ki kuondoka Tanzania.
Usiyoyajua kuhusu Amina Vikoba ‘Siwa wa Mzee Kikala’ kwenye Kombolela NI mmoja wa wasanii mahiri wa maigizo kwa sasa katika tasnia ya Bongo Movie. Ameigiza tamthilia mbalimbali na kujikusanyia mashabiki wengi huku ile ya Kombolela inayorushwa na Chaneli ya Sinema...
Vazi lamponza Wema, aitwa Bodi ya Filamu Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii Wema Sepetu kwa ajili ya mahojiano kuhusu picha jongefu zilizorushwa kwenye mtandao wa kijamii zikionyesha amevaa mavazi yasiyo na staha.
Mbosso aweka wazi madai ya kurudi kijijini baada ya kujing'oa WCB Staa wa muziki wa Bongo Flava, Mbosso Khan amesema madai ya kurudi kijijini baada kuondoka katika lebo ya muziki ya WCB, ametafsiriwa vibaya na watu mitandaoni.
PRIME Dada: Dulla Makabila kwa Simba, Yanga ukweli ndo huu! Kumekuwa na utata juu ya msanii wa Singeli, Dulla Makabila ni shabiki wa timu gani hapa Bongo. Hii imetokana na kila wakati kubadilika na leo ni Simba na kesho Yanga.
Chino kurudi shule, amtaja mzungu Msanii wa Bongo Fleva, Chino Kidd amesema pamoja na umaarufu wake anahitaji sana kurudi shule ili aongeze uwezo wake wa kuimba.
Billnass afunguka kutoka na Yammy Msanii wa Bongo Fleva, Billnass amesema watu waachez kupotosha kwa kudai yeye ndiyo sababu ya Yammy aliyekuwa chini ya lebo ya The African princess inayomilikiwa na Nandy.
Ibraah atii wito Basata, Harmonize hajafika Msanii Ibrahim Abdallah 'Ibraah' ameondoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanya yeye na bosi wake Harmonize waitwe katika ofisi hizo
Mpiga gitaa mkongwe Omar Seseme afariki dunia, kuzikwa leo Mazishi ya msanii huyo yamepangwa kufanyika leo saa 10 jioni katika Makaburi ya Mzimuni, Mwinyimkuu Magomeni, jijini Dar es Salaam.
Shilole akimbilia gym kunusuru penzi lake Msanii nyota wa filamu na muziki anayejishughulisha pia na ujasiriamali, Shilole amejishtukia na fasta ameamua kukimbilia gym kupiga tizi ili kupunguza unene alionao kwa nia ya kuokoa penzi lake...