Kilo 453 za dawa za kulevya zateketezwa Kati ya kilo hizo, 386.94 ni za mirungi na kilo 66.4 zilikuwa za bangi huku jumla ya watuhumiwa 58 wakikamatwa na 20 kati yao wametiwa hatiani.
Walalamikia gharama kufunga mifumo ya umeme, Rea yaonesha njia Wamesema wamekuwa wakitozwa kati ya Sh150,000 hadi Sh300,000 kufunga mifumo ya umeme kwenye vyumba viwili bei ambayo baadhi ya mafundi wanadai inatokana na vifaa vya umeme kuwa juu.
Waziri Ummy; Wawajibisheni ila msiwapeleke mahabusu Amesema licha ya makosa ya kitaaluma ya watumishi wa kada hiyo kutafutiwa suluhu katika mabaraza yao ya kitaaluma inabidi wao wajitambue na kuwajibika bila kushurutishwa.
Madaktari Bingwa kupiga kambi siku tano Simiyu Kambi hiyo ya matibabu ya kibingwa itaanza Juni 12, 2023 hadi Juni 16, 2023 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Simiyu.
Transfoma zahujumiwa, Tanesco yapata hasara Sh21 milioni Transifoma mbili za umeme vyenye thamani ya zaidi ya Sh21 milioni zilizokuwa kwenye maeneo ya vyanzo vya maji zimehujumiwa kwa kuharibiwa na kuibwa nyaya za kopa.
Saratani ya macho tishio kwa watoto Watoto waliogundulika na saratani ya macho hapa nchini kwa mwaka 2022 walikuwa 214, hii ni ongezeko ikilinganishwa na watoto 136 mwaka 2021.
Tarura Meatu kuachana na madaraja ya chini Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (Tarura) Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu imeanza kuachana na ujenzi wa madaraja ya chini (drift) kwa kujenga madaraja ya juu kuwezesha barabara za wilaya hiyo...
Daraja lajengwa kuokoa wanawake, wanafunzi Mto Mwanzagamba uliokuwa kikwazo kwa wanawake wa Kata ya Mwanyahina kwenda kupata huduma za afya ikiwemo kujifungua katika Hospital ya Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu umepatiwa ufumbuzi baada ya...
TPDC kutafiti mafuta, gesi Bonde la Eyasi Bonde la Eyasi Wembere liko katika mkondo wa Bonde la Ufa ambalo pia linapatikana katika nchi jirani za Kenya na Uganda ambazo tayari zimeanza miradi ya utafiti wa mafuta umefanyika huku Uganda...
Wadau watoa ya moyoni Serikali kuruhusu “Michomoko” Baada ya kuruhusu magari madogo maarufu kama “Michomoko” kusafirisha abiria, wadau wa usafirishaji wamezitaka taasisi na mamlaka husika kusimamia utii na utekelezaji wa sheria za usalama...