Search

163 results for Sanjito Msafiri :

  1. Utata Polisi wakidaiwa kuua muuza mkaa Kibaha

    Wakati kifo cha mfanyabiashara wa mkaa, Franky Kessy kikizua utata, ndugu wa marehemu na mkewe wameiangukia Serikali juu ya matunzo ya watoto.

  2. Ajali ya lori, Coaster yaua tisa Bagamoyo

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema kuwa kati ya waliopoteza maisha saba ni wanaume na wawili ni wanawake.

  3. Wanawake wametakiwa kushirikiana kufikia fursa za uongozi

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Kibaha Mjini Mkoa wa Pwani, Mwajuma Nyamka amesema kuna fursa ambayo Serikali imeleta kwa kipindi kirefu, lakini huenda wengi hawaijui ya jukwaa...

  4. Wanaojifungua watoto njiti wataka ongezeko la likizo

    Ni wito uliotolewa na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), kikitaka marekebisho ya sheria kwa ajili ya kundi hilo la kinamama.

  5. Ridhiwani Kikwete ataja sababu kuomba msaada ughaibuni

    "Dunia ya sasa inatulazimu kujikita kwenye matumizi Tehama karibu maeneo yote, kwa kutambua hilo nililazimika kuwatafuta hawa ndugu zetu na kuwaomba msaada wa kompyuta mpakato na leo...

  6. Ridhiwani Kikwete ataja dawa ya viongozi wazembe

    Amesema kumfumbia macho kíongozi wa aina hiyo ni kuchelewesha maendeleo na kwa upande mwingine kunalitia hasara Taifa, hususan anaposhindwa kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo ambayo...

  7.  Hivi ndivyo Tehama itakavyopunguza uhaba wa walimu nchini

    Hivi sasa kuna uhaba wa walimu 271,028 kuanzia ngazi ya awali, msingi hadi sekondari nchini utakaopunguzwa kwa ufundishaji kwa njia ya Tehama.

  8. DC Bagamoyo amaliza mgogoro ardhi wa miaka 10

    Amesema ingawa Serikali ina wajibu wa kutoa huduma kwa wananchi wote, lakini kuna umuhimu wa kutambua utambulisho wao kupitia viongozi wa vijiji wanakotoka.

  9. RC Kunenge ataka mahakimu wabanwe

    "Unakuta hakimu anahukumu kesi 100 na zinapokatiwa rufaa kwenye mahakama ya juu kesi 72 kati ya hizo hukumu zinabatilishwa, na hakimu huyo bado anabaki kuendelea na kazi hilo linapaswa...

  10. Madiwani Kibaha wataka mamlaka huduma za maji

    Kibaha. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, Mussa Ndomba ameiomba Serikali kuipatia halmashauri hiyo mamlaka ya usimamizi wa huduma za maji na usafi wa mazingira, ili kuwa...

Previous

Page 2 of 17

Next