Search

63 results for Susan Uhinga :

  1. Chongolo aridhishwa maboresho Bandari ya Tanga

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema uboreshaji unaofanywa na Serikali katika Bandari ya Tanga utasaidia kuleta matokeo chanya kwenye sekta ya usafiri wa majini na...

  2. CCM yatoa maagizo utanzaji vyanzo vya maji

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameendelea na ziara yake Mkoa wa Tanga yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama hicho kwa mwaka 2020/25.

  3. Tanroads, Tarura Tanga waombwa kuweka matuta yenye ubora

    Wajumbe wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Tanga, wameilalamikia Taasisi ya Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) kwa uwekaji wa matuta makubwa...

  4. RC Tanga asisitiza viwango vya ubora ujenzi wa barabara

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amemhimiza mkandarasi anayesimamia ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa km 50, kuzingatia viwango vyote vya ubora katika...

  5. Pangani kutangaza utalii

    Wilaya ya Pangani imetakiwa kuweka mkakati maalum kwa kutangaza vivutio vya utalii vya Hifadhi ya Taifa ya Saadani na Utalii wa Bahari.

  6. Msomera kujengewa bwawa la Sh1.9 bilioni kwa ajili ya mifugo

    Wakati mawaziri wawili wakiweka kambi katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kushuhudia watu waliokubali kuhamia kwa hiari, Serikali imetenga Sh1.9 bilioni kwa ajili...

  7. RC Tanga awatoa hofu wananchi kutoka Ngorongoro

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema mkoa huo upo tayari kuwapokea Watanzania waliokubali kuhama katika Hifadhi Tengefu ya Ngorongoro.

  8. DAS awatolea uvivu watumishi wazembe Tanga

    Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Pili Mnyema amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Vijijini kuwachukulia hatua watendaji ambao hawatekelezi majukumu yao ipasavyo.

  9. Vyama vya Wakulima Tanga kuwasilisha mkakati kuzalisha mkonge tani 70,000

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima ametoa wiki mbili kwa Vyama vya Msingi vya Wakulima wa Mkonge (Amcos) kuja na mpango mkakati unaonyesha namna ya kufikia lengo la kimkoa la uzalishaji wa zao...

  10. Mradi wa kidijitali Africa Connect kuwanufaisha wakulima 133 Korogwe

    Mradi huo ulizinduliwa Mei 20 mwaka huu jijini Dodoma ukiwa na lengo la kuwafikia wakulima laki moja katika mikoa 9 ya Tanzania Bara.

Previous

Page 2 of 7

Next