Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

179 results for Suzy Butondo :

  1. Sh60 bilioni kuboresha bandari 15 Kanda ya Ziwa

    Serikali imetenga Sh60 bilioni kuboresha miundombinu ya bandari 15 zilizopo mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa, zinazosafirisha mizigo kwenda nchi za Afrika Mashariki.

  2. Takukuru yakagua miradi 17, yabaini mapungufu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Shinyanga imefuatilia miradi 17 ya maendeleo yenye thamani ya Sh5.6 bilioni inayotekelezwa na Serikali ikibaini baadhi kujengwa chini ya...

  3. Watoto wafariki dunia kwa kukosa hewa wakicheza kwenye gari

    Watoto wawili wanaokadiriwa kuwa na miaka kati ya 6 na 7 wamefariki dunia kwa kukosa hewa wakati wakicheza ndani ya gari katika Kitongoji cha Ng’ung’ula Kijiji cha Jomu kata ya Tinde Wilaya ya...

  4. Wananchi walilia zahanati yao iliyopitiwa na SGR

    Wananchi wa kijiji cha Seke Ididi kata ya Seke Bugolo Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu wameiomba Serikali kuwajengea zahanati ya kijiji hicho iliyobomolewa kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya...

  5. RC Mndeme: Maziwa ya kwanza hayana madhara nyonyesheni watoto

    Asilimia 30 tu ya akina mama mkoani Shinyanga wananyonyesha watoto wao ndani ya saa moja baada ya kujifungua, hivyo kusisitizwa kuwa maziwa ya mama kwa mtoto ni muhimu sana katika afya yake na...

  6. Mwenge wakagua, kuzindua miradi ya Sh41 bilioni Shinyanga

    Mwenge wa uhuru wakabidhiwa leo Mkoani Geita ukitokea Mkoani Shinyanga baada ya kukagua miradi 41 yenye thamani ya zaidi ya Sh 14 bilioni

  7. Mradi wa maji Shinyanga watakiwa kukamilika Agosti

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Cyprian Luhemeja ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Shinyanga (Shuwasa), kuhakikisha mkandarasi anatekeleza kazi ya kusambaza huduma ya maji kwa...

  8. Wananchi walalamika kutumia maji ya madimbwi na wanyama

    Wakati wakilalamikia hali hiyo, mkandarasi ambaye anatekeleza mradi wa maji kijijini humo anadaiwa kuutelekeza.

  9. PRIME Hisia mchanganyiko kupasuka bwawa la mgodi wa almasi

    Janga la kingo za bwawa la majitope la mgodi wa almasi wa Williamson Diamond Limited (WDL) eneo la Mwadui kupasuka limeacha hisia hasi na chanya kwa wakazi wa vijiji vya Nyenze na Ng'wanholo...

  10. Sh11.6 bilioni kuboresha huduma ya maji Wilaya ya Kishapu

    Miradi hiyo mitatu inayotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh11.6 bilioni itawapunguzia wananchi adha ya kutembea umbali mrefu na kutumia fedha nyingi kupata huduma ya maji.

Previous

Page 2 of 18

Next