Wakimbizi wa Burundi wapewa hadi Desemba 31 kurudi kwao
Katibu Mkuu Wizara ya Ndani na Maendeleo ya Jamii na Usalama wa Raia nchini Burundi, Theofile Ndarufatiye amesema tangu mwaka 2017 hadi kufikia mwaka 2024 jumla ya wakimbizi 1,070,607 wamerejea...