Matukio ya mauji, ukatili yalivyoitikisa Zanzibar hivyo, Mashaka naye anadaiwa kujinyonga Oktoba 3, 2024 kwa kutumia kamba aliyofunga kwenye mti wa mfenesi. Katika tukio lingine ni la Askari wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ), Haji Machano...
PRIME Mitazamo tofauti ya wadau panga-pangua ya Rais Samia Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kupanga safu ya wasaidizi wake kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo kuligusa kwa mara nyingine baraza lake la mawaziri.
Tisa kuchuana uenyekiti CUF Desemba 18, Chadema Kanda Kaskazini, Kati waanza kuchukua fomu Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) uliotakiwa kufanyika Septemba 2024 sasa utafanyika Desemba 18 na 19, 2024 huku ajenda kuu ikiwa ni uchaguzi wa viongozi wakuu.
Rais Samia akutana Malaigwanani wa Ngorongoro, atangaza kuunda tume Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza uamuzi wa kuunda tume mbili ikiwamo itakayochunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro.
Othman: Serikali ina wajibu kueleza ukweli vifo vyenye utata Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amezifariji familia zilizopoteza vijana wao katika vifo vyenye utata, huku akizitaka kuwa na subra kwani serikali inao wajibu kutafuta ukweli...
Kamati ya Bajeti yaikataa ripoti mradi wa HEET Zanzibar ni miongoni mwa wanufaika kupitia Suza ambacho kilitengewa Dola za Marekani milioni 20 (sawa na Sh45.9 bilioni) katika utekelezaji wa maeneo makuu manne: Ujenzi au ukarabati wa...
Kapombe na siku 811 ngumu Stars Kapombe pia alikosa mechi 18 za mashindano tofauti rasmi ambapo mechi tatu ni za Afcon, mechi tatu za mashindano ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia na mechi nane za mashindano ya kuwania...
Mastraika sasa pasua kichwa Katika msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu Bara, washambuliaji wa kati wa timu kubwa za Simba, Yanga, na Azam bado wanakabiliwa na changamoto ya kufumania nyavu.
ZRA yakusanya asilimia 102 ya mapato Mohamed amesema makusanyo hayo ni ongezeko la Sh15.326 bilioni ikilinganishwa na makusanyo ya Oktoba 2023 na ongezeko hilo limechangiwa na usimamizi na miongozo kutoka kwa viongozi wao.
Mwinyi: SMZ itakakavyoshirikisha vijana kwenye mambo ya nchi Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ameadhimisha miaka minne ya utawala wake akiahidi kuendelea kuwaleta vijana karibu katika masuala yote ya kitaifa, huku akichukua hatua za kutatua...