PRIME Usikae mbali na fasheni msimu wa mahafali Msimu wa mahafali katika shule na vyuo mbalimbali nchini umewadia, katika kipindi hiki huwa kuna pilika za hapa na pale kwa wahitimu kutaka kupata mwonekano wa tofauti katika siku yao hiyo muhimu.
Tokelezea na nguo zenye rangi ya chui ‘Leopard Print’ Leopard Print au mavazi yenye rangi ya chui ni aina ya nguo ambayo imezidi kubamba katika suala zima la mitindo, ambapo huvaliwa na rika zote.
Tanswift yazindua huduma ya usafirishaji mtandaoni Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria za barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika.
Mwanafunzi akutwa ameuawa kichakani Baba mzazi wa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara ambaye mwili wake umepatikana kichakani karibu na chuo hicho, afichua mateso aliyoyapata binti yake kabla hajauawa.
Miili ya waliofunga wakiamini kwenda mbinguni yafikia 89 Idadi ya miili ya waumini waliofariki dunia kwa kufunga imefikia 89 katika shughuli za ufukuaji wa makaburi zinazoendelea katika Kijiji cha Shakahola, Kaunti ya Kilifi nchini Kenya.
Bibi adakwa akila njama kumuuza mjukuu wake Sh7 milioni Mwanamke mmoja (jina limehifadhiwa) jijini Nairobi nchini Kenya ameshtakiwa kwa kosa la kula njama ya kumuuza mjukuu wake kwa Sh400,000 ya nchini humo (Sh6.9 milioni).
Atumia fedha za mkewe kuoa shoga wa mkewe Wahenga walisema kikulacho kinguoni mwako. Usemi huu umemfika mwanamke mmoja wa Kenya aliyetambuliwa kwa jina moja la Mercy baada ya mumewe kuoa shoga wa mkewe.
Mafuriko yasomba Mjamzito na watoto wake Mjamzito aliyetambuliwa kwa jina la Sabina Mwamidi pamoja na watoto wake watatu wnasadikiwa kufariki dunia baada ya nyumba yao kusombwa na mafuriko katika eneo la Mwatate nchini hapa.
Polisi yachunguza kifo kijana aliyefariki nyumbani kwa DJ Polisi wamesema watafukua mwili wa kijana Jeff Mwathi kisha kuendeleza uchunguzi kuhusu kifo chake. Mwathi alifariki katika mazingira ya kutatanisha baada ya mwili wake kukutwa katika nyumba ya...
Bibi kizee acheza rhumba katikati ya mazishi Bibi kizee Francesca Ingosi wa nchini Kongo, amekuwa kivutio msibani baada ya kusakata rhumba kwenye msiba wa ndugu yake, jambo ambalo limeibua mjadala kwa watu waliokuwa wameshiriki shughuli...