Search

63 results for Susan Uhinga :

  1. Shule yaiangukia Serikali miundombinu ya wenye ulemavu

    Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Mbula ‘B’ iliyopo Wilayani Lushoto mkoani Tanga, Reuben Menga ameiomba Serikali kuiwezesha kupata miundombinu kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu ili wapate fursa...

  2. Wasimamizi miradi ya Uviko-19 watakiwa kuzingatia ubora

    Wasimamizi wa ujenzi mradi wa kituo cha Afya cha mnyuzi Kilichopo katika Kata ya Mnyuzi wilayani Korogwe mkoani Tanga, wametakiwa kurekebisha haraka mapungufu yaliobainika kwenye ujenzi wa mradi...

  3. Watanzania watakiwa kutoa ushirikiano mapambano ya rushwa

    Watanzania wametakiwa kutoa ushirikilano wakati wa kukusanya ushahidi kwenye uendeshaji mashauri ya rushwa ili kuisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya Rushwa.

  4. Pangani watakiwa kuzingatia lishe bora

    Wananchi wilayani Pangani wametakiwa kuhakikisha familia zao zinapata mlo kamili ikiwemo chakula bora ili kuwa na afya bora kwa ustawi wa jamii na uchumi wa Taifa.

  5. 577 wajitokeza kupima VVU Tanga

    Akizungumza katika mkesha wa mwaka mpya, Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa amesema katika watu 577 waliopima VVU wanawake walikuwa 372 na wanaume 202 huku waliokutwa na maambukizi wakiwa...

  6. Kadi ya Nida kukutoa selo

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma ametoa maagizo manane kwa mahakimu, likiwamo la kurahisisha masharti ya dhamana kwa Watanzania kujidhamini kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa(Nida)...

  7. RC Tanga aagiza Polisi kuharakisha uchunguzi kifo cha mhandisi mradi wa EACOP

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga (RC), Adam Malima ameviagiza vyombo vya dola mkoni humo kuharakisha uchunguzi wa kifo cha raia wa kigeni mbaye alikuwa mhandisi mshauri katika mradi wa mradi wa Bomba la...

  8. Mhandisi mradi wa EACOP akutwa amefariki hotelini

    Mhandisi mshauri katika mradi wa mradi wa Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Uganda-Tanga kwa upande wa Tanga ambaye ni raia wa Afrika Kusini, amakutwa amefariki dunia katika...

  9. Sh2 bilioni kuwapelekea maji wananchi 16,600 Korogwe

    Zaidi ya wananchi 16,600 waliopo kwenye vijiji saba katika Halimashauri ya wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya serikali kuwapelekea...

  10. Sh1 bilioni kuwapa maji wananchi 5520 Pangani

    Zaidi ya Sh1 bilioni zimetuka katika kutekeleza mradi wa maji katika Vijiji vya Kipumbwi na Mlazo vilivyopo Wilaya ya Pangani mkoani Tanga.

Previous

Page 3 of 7

Next