Search

265 results for Thobias Sebastian :

  1. Simba: Tumewaskia, Chama huyoo mapemaa

    KIKOSI cha Simba jana kilifanya jijini Mwanzakujiandaa na mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara zitakazopigwa Kanda ya Ziwa, benchi la ufundi na baadhi ya nyota wa timu hiyo wakiwahakikisha...

  2. Mastaa Prisons kuoga noti

    UONGOZI wa Tanzania Prisons ukishirikiana na wadhamini wao wakuu, Kampuni ya Usafirishaji Silent Ocean umejipanga kuhakikisha mzunguko wa pili kikosi kinafanya vizuri kwenye michezo 15 na...

  3. Manzoki anakuja Dar, Simba kuanza usajili leo

    Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo Desemba 15, mabosi wa Simba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ pamoja na benchi la ufundi chini ya Kocha Juma...

  4. Saido apewa masharti Simba

    SIKU chache kabla ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili, mabosi wa Simba wameonyesha kiu yao ya kumnasa kiungo fundi wa zamani wa Yanga, Saido Ntibazonkiza na habari za ndani zinasema jamaa...

  5. Dili la Luis Simba limekwama kisa mkwanja

    Baada ya kutolewa kwa mkopo na Al Ahly ya Misri kwenda Abha, Saudi Arabia alidumu kwa miezi michache na kurejea Maputo.

  6. Ajibu, Sabilo wanukia Singida Big Stars

    Ajibu anamaliza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Azam iliyomsajili dirisha dogo la usajili msimu uliopita akitokea Simba, huku ikionekana hakuna dalili ya kumuongezea mkataba mpya kutokana na...

  7. Ni Fei Toto tu, Nabi amzuia Yanga

    WAKATI Yanga wakiwa mkoani Lindi kuvaana na Namungo kesho, takwimu zinaonyesha kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ ni mwamba haswa Ligi Kuu msimu huu katika chama lake akiliokoa katika nyakati ngumu.

  8. Phiri asimulia alivyoitosa Yanga

    KINARA wa mabao Simba anayeongoza pia orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu sambamba na Fiston Mayele, Mzambia Moses Phiri amefichua siri nzito aliyokaa nayo tangu atue nchini kukipiga Msimbazi.

  9. Chama aishika pabaya Simba, mabosi wapagawa

    MABOSI wa Simba wanakuna kichwa baada ya kiungo fundi na mkali wa asisti wa kikosi hicho, Clatous Chama kuwashika pabaya. Mwanaspoti linajua kwamba mkataba wake wa mwaka mmoja anafikia ukingoni...

  10. Mgunda achekelea, aitaja Yanga

    NYOTA wa Simba wamerejea mazoezini kwa siku mbili na leo watalihama jiji kwenda Tanga kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, huku kocha Juma Mgunda akizungumzia matokeo ya mechi yao...

Previous

Page 3 of 27

Next