Search

200 results for William Shao :

  1. Kwa nini cheo cha Naibu waziri mkuu

    Mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu wakuu yaliyofanywa jana na Rais Samia kwa kumteua Dk Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati yanamfanya kiongozi huyo kuingia...

  2. PRIME Hekalu la maovu la kiongozi wa Wagner

    Kikulacho ki nguoni mwako, ndivyo unavyoweza kusema juu ya kilichomtokea kiongozi wa kundi la Wagner, Yevgeny Prigozhin alikwama kumpindua Rais wa Russia, Vladimir Putin wiki mbili zilizopita.

  3. PRIME Wagner inavyotishia usalama barani Ulaya

    Katika toleo lililopita tuliona uhusiano uliopo kati ya kundi la jeshi la mamluki la Wagner linaloongozwa na Yevgeny Prigozhin na namna linavyoshirikiana na jeshi la Russia.

  4. PRIME Uhusiano wa Wagner na Serikali ya Russia

    Tunaendelea na simulizi ya kundi la Wagner, ambalo hivi karibuni lilimnyima usingizi Rais wa Russia, Vladmir Putin. Katika toleo lililopita tuliona mwanzo wa kundi la Wagner nchini Russia. Lakini...

  5. PRIME Saa 24 zilivyomtikisa Vladimir Putin, Ulaya

    Juni 24 mwaka huu, Rais Vladimir Putin wa Russia aliingia katika kile kilichoonekana kuwa ni mzozo kati ya Serikali yake na jeshi binafsi la Wagner, akilituhumu kwa usaliti na uhaini.

  6. Matukio haya kukumbukwa na IGP Sirro akistaafu polisi

    Simon Sirro amehitimisha safari ya miaka 30 ya utumishi ndani ya Jeshi la Polisi, huku akisikitishwa na uwepo wa askari ndani ya jeshi hilo wanaokiuka misingi, maadili ya kazi yao na kuwanyonya...

  7. Chato na ndoto ya kituo cha utalii iliyofifia

    Katika kufanya mapitio ya kitabu 'I am the State: A President's Whisper from Chato' kilichoandikwa na waandishi wanne nguli nchini ambao ni Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na...

  8. Kazi ya Museveni, kauli ya Mkapa kuhusu Chato

    Waandishi katika sura hii wanajadili kwa ufupi jinsi baadhi ya huduma za kijamii zilivyokuwa kivutio au kikwazo kwa watu wa ndani na nje ya nchi, hasa jinsi baadhi ya maeneo ndani ya Wilaya ya...

  9. Hospitali ya Chato, eneo gumu wagonjwa kufika-4

    Kitabu kinasema sifa kuu mbili zinamtenga Rais Magufuli na watangulizi wake, kwamba alikuwa rais aliyeongoza kwa muda mfupi zaidi (2015-2021) na aliyeonyesha waziwazi upendeleo, akilenga kujenga...

  10. Kilicho nyuma ya miradi Chato -3

    Aprili 14 mwaka huu waandishi wanne nguli—Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu walizindua kitabu chao walichokipa jina la 'I am the State: A President's Whisper from...

Previous

Page 3 of 20

Next