Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

244 results for Happiness Tesha :

  1. DC Kigoma aunda kamati kuchunguza athari kuungua soko la mitumba

    Jumla ya vibanda 148 kati ya 700 vimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia Februari 10, 2024, saa saba usiku, huku chanzo cha moto kikidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme.

  2. Vibanda 148 vyateketea kwa moto, Soko la Mitumba Kigoma

    Amesema vibanda hivyo vinaanzia block A hadi J na sehemu iliyoathirika zaidi ni eneo la block J ambayo ina jumla ya vibanda 148, kati ya hivyo 111 vilikuwa na bidhaa na vingine 37 vilikuwa...

  3. Wananchi Katubuka hatarini kupata magonjwa ya mlipuko

    Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa nyama ya nguruwe wamesema pamoja na kuhamia upande wa pili kuyakwepa maji, lakini yanatoa harufu na kuhofia...

    New Content Item (1)
  4. Mvua yaleta maafa Kigoma, nyumba 60 zazingirwa maji

    Nyumba 60 za makazi ya watu na barabara ya Katubuka kwenda Uwanja wa Ndege katika Kata ya Katubuka, Manispaa ya Kigoma Ujiji zimezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

  5. Ahukumiwa kunyongwa kwa kuua watu saba

    Jaji amesema baada ya kumkata mapanga rafiki yake alimkata na mke wa rafiki yake, Sara Dunia na kumuua na baadaye wakati anatoka akakutana na mama mzazi wa Januari akitokea chumbani kwake naye...

  6. Jamhuri yapewa siku 14 kukamilisha mashitaka kwa watumishi wa halmshauri

    Washtakiwa hao ni pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga, Athumani Msabila, Aidan Mponzi na Tumsifu Kachira kutoka Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...

  7. Dk Mpango awatahadharisha vijana wasitumike kisiasa kuchochea vurugu nchini

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini kutokubali kutumika kisiasa katika kuchochea vurugu, uhasama na maandamano yasiyo na tija nchini.

  8. Uamuzi kesi ya watumishi halmashauri wakwama, hati kubadilishwa

    Mahakama ya Wilaya Kigoma imeshindwa kutoa uamuzi katika kesi ya watumishi 11 wa halmashauri akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga Athumani Msabila, ikiutaka upande wa Jamhuri kufanya...

  9. Ukarabati Mv Liemba kugharimu Sh32 bilioni, kuanza mwezi ujao

    Meli hiyo yenye uwezo wa kuchukua abiria 600 na tani 200 za mizigo, ilikuwa ikifanya safari zake kati ya Tanzania na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), na kwamba baada ya matengenezo hayo...

  10. Mawakili wadai washitakiwa wawili hawahusiki tuhuma za utakatishaji fedha

    Kesi hiyo imefika leo katika Mahakama ya Wilaya Kigoma kwa ajili ya kutajwa mbele ya Hakimu Mfawidhi Hassan Momba

Previous

Page 4 of 25

Next