Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. KIA yapokea wafanyakazi 23 kutoka Microsoft

    Maboresho yaliyofanyika katika Uwanja Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) pamoja na filamu ya ‘Royal Tour,’ vimetajwa kuwa chachu ya ongezeka la wageni (watalii) wanaofika nchini, kuamua kutumia...

  2. PRIME Bosi auawa, atumbukizwa kwenye shimo la choo chake

    Mkazi wa Kijiji cha Ubetu wilayani hapa, Rogasian Onesfory (60) anadaiwa kuuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani na mfanyakazi wake wa ndani wa kiume kisha kutumbukizwa kwenye shimo la choo.

  3. PRIME Uzembe, kamari vyatajwa chanzo ajali za barabarani

    Wakati jinamizi la ajali likianza kurejea nchini, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema uchunguzi wa awali unaonyesha uzembe wa madereva ndiyo chanzo.

  4. MCL yaongoza wateule tuzo za EJAT 2022

    Jopo la majaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) limewateua waaandishi 18 kutoka Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kuwania tuzo hizo kati ya wanataaluma 91...

  5. Wawili wahofiwa kufariki ajalini Same

    Akizungumza na Mwananchi digital, Mtendaji wa Kijiji hicho ambaye alikuwa eneo la ajali, Veran Mtenga amesema ajali hiyo imetokea leo Juni 23, saa 12 asubuhi katika Kijiji hicho.

  6. Sekondari Keni yapata mwarobaini wa utoro Rombo

    Rombo. Mahudhurio hafifu ya wanafunzi yanayotajwa kusababishwa na umbali mrefu yamepatiwa mwarobaini baada ya Serikali kukamilisha mradi wa ujenzi wa mabweni uliogharimu Sh200 milioni katika...

  7. Ujenzi daraja Mto Wama, ahueni ya wana-Rombo

    Rombo. Adha ya kuwabeba wagonjwa na kuwavusha Mto Wama, Wilaya ya Rombo, Kilimanjaro imefikia tamati baada ya Serikali kukamilisha ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vya Wama, Msangai na...

  8. Mradi wa maji Nasuro-Same wazinduliwa

    Zaidi ya wananchi 2,643 wa kijiji cha Nasuro na maeneo jirani, wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, wameondokana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, baada ya mradi wa...

  9. Mwenge: Miradi Sh30.3 bilioni kuonwa Kilimanjaro

    Jumla ya miradi 45 yenye thamani Sh30.3 bilioni inatarajiwa kutembelewa na Mwenge wa uhuru katika halmashauri 7 za mkoa wa Kilimanjaro, ambapo miradi 17 itakaguliwa, 13 kitafunguliwa na...

  10. Wanafunzi Rombo kula samaki mashuleni

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, imetenga zaidi ya Sh128 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la samaki katika kijiji cha Momwe, Kata ya Mrao Keryo, wilayani Rombo ambapo...

Previous

Page 85 of 144

Next