Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. PRIME Ajiua kwa kujikata na mashine ya kuchana mbao

    Mwita Warioba (35), mkazi wa mtaa wa Kiusa wilayanihapa, amejiua kwa kujikata shingo na mashine ya kuchana mbao.

  2. Hatimaye Mzee Shirima azikwa Rombo

    Aliyekuwa Mwanzilishi na Mwenyekiti wa shirika la ndege la Precison Air, Michael Ngaleku Shirika (80) amezikwa leo Juni 15 katika kijiji cha Nayeme wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro.

  3. Mamia wajitokeza kumzika Shirima

    Mamia ya waombolezaji wameendelea kufurika katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Pius X, lililopo Tarakea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro kushiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwanzilishi...

  4. Mwili wa mwanzilishi wa Precision Air wawasili kijijini kwao

    Mwili wa Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Shirika la Ndege la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima umewasili katika Kijiji cha Nayeme, Tarakea, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro.

  5. Jaji wa Tanzania achaguliwa tena Rais Mahakama ya Afrika

    Jaji Imani Aboud, ambaye ni Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, amechaguliwa tena kwa kipindi cha pili cha miaka miwili kuiongoza mahakama hiyo.

  6. Sintofahamu mvutano Serikali, madereva malori Mwanga

    Zaidi ya madereva 50 wa malori ya mchanga katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro wamegoma kuendelea na kazi kwa muda usiojulikana kwa madai ya kupandishiwa ushuru kiholela na Halmashauri...

  7. Usiyofahamu kuhusu mmiliki wa Precision Air

    Wakati jamii ikiomboleza kifo cha mwanzilishi na mwenyekiti wa bodi ya Kampuni ya Shirika la Precision Air, Michael Shirima, imeelezwa namna alivyothubutu kujiuzulu kazi na kwenda kuchoma nyama.

  8. Mmoja afariki, wanne walazwa wakishindana kunywa pombe

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda.

  9. Mwanzilishi wa Precision Air Kuzikwa Rombo Jumatano

    Mwili wa Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Shirika la Ndege la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima (80), unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano Juni 14, mwaka huu Wilaya ya Rombo...

  10. Rais Samia aomboleza kifo Shirima wa Precision

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 10, ametuma salamu za pole kwa familia ya Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya shirika la Ndege la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima aliyefariki...

Previous

Page 86 of 144

Next