Shirima wa Precision Air afariki, Profesa Mkenda amlilia Mbunge wa Rombo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ameeleza kusikitishwa na kifo cha mmiliki wa shirika la ndege la Precision Air, Mzee Michael...
Mtoto wa miaka sita aliyeuawa kwa kubakwa azikwa Vilio, simanzi na majonzi vimetawala katika mazikoi ya mwanafunzi, Leonila Maleto (6), aliyeuawa kikatili kwa kubakwa na kulawitiwa na kisha mwili wake kutupwa kwenye korongo.
Anayedaiwa kuua kwa risasi Himo apandishwa kizimbani Tukio hilo la mauaji lilitokea Mei 17, 2023 katika barabara ya Himo-Marangu kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Kamanda wa Polisi
Waandishi Kilimanjaro wafunga ofisi yao wakidai kuwepo ubadhirifu Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kufunga ofisi za klabu ya waandishi wa habari mkoani humo (Mecki) kwa madai ya matumizi mabaya ya ofisi pamoja na kutosomewa mapato...
Vijana wasita kuchagia damu, wahofia kujua hali zao Licha ya kuwa vijana ndio kundi kubwa linalotegemewa katika kuchangia damu salama hapa nchini, kundi hilo linatajwa kuwa na hofu ya kuchangia damu kutokana kitendo hicho kuwawezesha kujua hali...
Wafanyabiashara waandamana baada kuzuiwa kuvusha mahindi Kenya Wafanyabiashara wa mahindi katika soko la Kimataifa la mazao Holili, lililopo Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro leo asubuhi Juni Mosi wameandamana mpaka ofisi za Forodha mpakani mwa Kenya na...
Madiwani wataka mkurugenzi kuwapangia 'trip' Baraza la madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro limemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo kupanga safari ya madiwani kwenda kujifunza katika Halmashauri ya...
Wazika maiti si yao, wafukua na kuzika upya Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya firauni. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya ndugu wa familia ya marehemu Gudluck Munuo (53), mkazi wa Kijiji cha Mese, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro...
Tume yatua Kilimanjaro uchunguzi kifo tata cha Nusura Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) imebisha hodi mkoani Kilimanjaro kufanya uchunguzi huru juu ya kiini cha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah.
Bodi ya Magavana yamaliza muda wake Hayo yamebainishwa leo Jumapili Mei 28, 2023 na Katibu Mkuu Wizara ya Malisasili na utalii, Dk Hassan Abbas wakati wa shughuli ya kuiaga bodi hiyo ya Magavana wa chuo cha Usimamizi wa...