Hofu watatu wakifa kwa kula nyama msibani Watu watatu wakiwemo mume na mke wamefariki dunia baada ya kula nyama msibani inayodhaniwa kuwa na vimelea vya ugonjwa wa kimeta katika Kijiji cha Msaranga, Kata ya Kisale Msaranga, Wilaya ya...
Watumishi watatu mbaroni Kilimanjaro vifo vya wanafunzi Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watumishi watatu wa Shule ya Sekondari Kisomachi, iliyopo Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa uchunguzi wa tukio la vifo vya wanafunzi wawili...
Wanafunzi wawili wafariki kwa kutumbukia kwenye tenki la maharage Wanafunzi wawili wa Shule ya Sekondari Kisomachi, iliyopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamefariki dunia baada ya kudaiwa kukosa hewa, wakati walipoingia kwenye pipa la kuhifadhia maharage.
Tacaids ‘kuwasaka’ 200,000 wasiotumia dawa za kufubaza ukimwi Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini (Tacaids) Dk Leonard Maboko amesema kati ya watu milioni 1.7 wanaoishi na virusi vya Ukimwi nchini, wanaotumia dawa ni milioni 1.5 pekee.
DC Rombo apewa rungu kushughulikia wakandarasi Moshi. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Cyprian Luhemeja ampa rungu Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Kanali Hamis Maiga kuwabana na kuwakamata wakandarasi watakaochezea miradi ya maji wilayani...
RC Kilimanjaro akemea kiburi kazini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka watumishi mkoani humo, kuacha kufanya kazi kwa kiburi na kwa mazoea na badala yake wawahudumie wananchi kwa kufuata misingi na taratibu kwa...
Wadau wa utalii kunogesha sherehe za AU kilele cha mlima Kilimanjaro Moshi. Wadau wa utalii nchini wamesema watatumia mlima Kilimanjaro kama jukwaa la kuunganisha vijana wa Afrika wenye ndoto na maono tofauti kupitia sanaa ya uchoraji katika kueneza ujumbe wa...
Mtoto adaiwa kumuua mama kisa Sh5,000 ya Vicoba Kijana wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe (62) kwa...
RC Kilimanjaro awatupia zigo mamlaka ya maji Babu ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi katika mradi wa maji wa awamu ya kwanza wa uboreshaji wa huduma ya maji katika kijiji cha Ikuini, wilayani humo wenye lita za ujazo 500,000...
Wanne familia moja wafariki kwa kusombwa na mafuriko Arusha Watu wanne wa familia moja wamefariki na wengine wawili wamelazwa baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa na mafuriko wakiwa safarini kwenda Kilimanjaro katika eneo la King'ori Wilaya ya...