Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Mvua yakata mawasiliano ya usafiri Kilimanjaro na Arusha

    Mawasiliano kati ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha yamekatika asubuhi ya leo Jumanne Aprili 25, 2023 baada ya maji kujaa barabarani katika eneo la Kwa Msomali wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.

  2. Wanafunzi Uchira Islamic wapatiwa msaada

    Moshi. Katika kusheherekea sikukuu ya Eid el Fitr, Wafanyakazi wa Benki ya Azania, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wametoa msaada wa vyakula ikiwemo mbuzi, mchele na mafuta kwa wanafunzi...

  3. RPC Kilimanjaro awaonya watakaovunja sheria sherehe za Eid el Fitr

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limesema litawachukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria watakaobainika kuendesha magari huku wakiwa wamelewa na watakaovunja sheria za usalama barabarani wakati...

  4. Shule tatu za udereva zafungwa, 13 hatarini

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limezifungia shule tatu za udereva kutokana na kutokukidhi vigezo vya kuendeshea mafunzo hayo huku nyingine 13 zikisitishiwa kutoa mafunzo kutokana na mapungufu...

  5. KCBL yajipanga kukuza mtaji kufikia Sh15 bilioni

    Akitaja mafanikio ya benki hiyo, Ng'ura amesema wameweza kuongeza akaunti mpya zinazofanya miamala ya wateja kufikia 21,000 mwaka 2022 kutoka akauti 15,000 za mwaka 2021 huku mtaji wa wanahisa...

  6. Wafungwa gereza la Karanga wapatiwa sadaka ya futari

    Moshi. Wakati waumini wa dini ya Kiislam nchini wakitimiza siku 22 za mfungo wa Ramadhan, Mbunge Mstaafu wa Moshi mjini, Jaffary Michael amewaasa wananchi kuwa na tabia ya kuwatembelea wafungwa...

  7. THRDC: Ripoti ya CAG ni sehemu ndogo katika kuibua madudu

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Ole Ngurumwa amesema Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni sehemu ndogo sana katika kuibua...

  8. Mabasi kusafiri usiku bado kitendawili

    Wakati kukiwa na kauli tofauti kuhusu suala la mabasi kusafiri usiku, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema hata ukifanyika uamuzi huo, bado kuna madhara kutokana na barabara...

  9. Sabaya akiri makosa, aachiwa kwa masharti

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, imemuachia kwa masharti ya kutofanya kosa la jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja na kulipa fidia ya Sh5 milioni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...

  10. Moshi wavalia njuga suala la usafi kuirudisha hadhi yake

    Moshi. Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Bomambuzi wilayani Moshi wameamua kulivalia njuga suala la kuimarisha usafi wa mazingira katika Manispaa ya hiyo kwa...

Previous

Page 89 of 144

Next