Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Sabaya afikishwa Mahakama Hakimu Mkazi Moshi leo

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefikishwa kwa mara nyingine tena leo April 5, 2023 katika Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi.

  2. Kesi wanaopinga kutozwa faini Ngorongoro kusikilizwa Mei 10

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imepanga Mei 10, 2023 kuanza kusikiliza rufaa iliyokatwa na wakazi wawili wa wilaya ya Ngorongoro wanaopinga utozaji wa Sh15 Milioni kama faini baada ya kuingiza...

  3. Mwanamke auawa kisa wivu wa mapenzi

    Donata Amedius(47), mkazi wa Kitongoji cha Kotule, Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro ameshambuliwa na kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wanaokadiriwa kuwa...

  4. Kiwanda cha maziwa Moshi chalia uhaba wa maji

    Moshi. Kiwanda cha kusindika maziwa cha Kondiki, kilichopo Mwika Kaskazini wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro kinakabiliwa na uhaba wa maji hali ambayo inatishia uzalishaji wa maziwa katika...

  5. Mafuriko yasababisha magari kusitisha safari barabara Arusha-Moshi

    Mvua zilizoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 3, 2023 katika maeneo mbalimbali mkoani Kilimanjaro imesababisha mafaruko na kusababisha kukatika kwa mawasiliano katika barabara...

  6. TPC yavunja rekodi ya uzalishaji kwa miaka 93

    Kipindi cha mwezi Juni mpaka Machi mwaka huu wameweza kuzalisha miwa tani 1,150,000 ambazo ziliweza kuzalisha sukari tani 116,500 ikiwa ni kiwango cha juu kabisa kulinganisha na miaka mingine.

  7. Wananchi 56,000 kunufaika mradi wa maji ifikapo Juni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, kimemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji wa Wona-Marangu, ambao utahudumia wananchi 56,000 wa Tarafa nne kuongeza kasi na kuhakikisha mradi huo...

  8. Ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la ulawiti

    Mahakama ya Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro imemhukumu kifungo cha miaka 30 gerezani, Valency Panclas Mtales(43) mkazi wa kijiji cha Mamsera chini, wilayani humo kwa kosa la kumlawiti kijana...

  9. Serikali yashauriwa kuongeza Maofisa Ustawi Jamii

    Mwanga. Kamati ya kudumu ya Bunge ya ustawi na Maendeleo ya jamii imeishauri serikali kuongeza Maofisa ustawi wa jamii katika maeneo mbalimbali nchini ili kukabiliana na vitendo vya ukatili wa...

  10. 14 waliotuhumiwa kwa mauaji huru

    Vilio vya furaha vilitawala nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma baada ya washtakiwa 14 wa kesi ya mauaji ya watafiti wa udongo waliouawa katika kijiji cha Iringa Mvumi, Chamwino mwaka 2016...

Previous

Page 90 of 144

Next