Baba mzazi afunguka mazito kifo cha bintiye aliyechomwa moto Baba mzazi wa Neema (Martha) Towo aliyekufa kwa madai ya kuchomwa moto wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani, Ndeonasia Towo amehusisha kifo cha mwanaye huyo na masuala ya kazi.
Polisi watumia mabomu kutawanya wamachinga Iringa Jeshi la Polisi Mkoani Iringa leo Machi 14 limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la wamachinga waliohamishiwa eneo jipya la biashara...
Aliyekutwa na meno 6 ya tembo atiwa mbaroni Katika kukabiliana na mtandao wa wizi wa nyara za Serikali, Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mtuhumiwa mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kukutwa na meno sita ya tembo...
Mhasibu aliyetekwa kuchomwa moto azikwa Baba mzazi wa Neema alieleza kuwa siku ya tukio mwanaye alikuwa kanisani kwenye ibada ya jioni, alipigiwa simu na watu asiowajua akiwa ndani ya kanisa, akatoka nje kusikiliza baada ya hapo...
Chadema: Tuko tayari Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limesema chama hicho kimejipanga kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa mwakani na Uchaguzi Mkuu ujao ili watatue...
Wanawake Chadema walikumbusha Jeshi la Polisi mauaji raia mahabusu Katibu wa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) Catherine Ruge amesema hawafurahishwi na vitendo vya mauaji yanayotokea maeneo mbalimbali nchini, ambayo yanafanywa na Jeshi la Polisi hasa katika...
Jaji Aboud: Mitandao ya kijamii itumike kuhimiza usawa kijinsia Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Jaji Imani Aboud ameitaka jamii kutumia mitandao ya kijamii kwa mambo yenye kuleta tija ikiwemo kuhimiza usawa wa kijinsia na kukemea...
Bawacha wamchongea kwa Rais mkurugenzi aliyewatimua wasipande miti Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Kilimanjaro na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Grace Kiwelu ameeleza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan namna viongozi wa baraza hilo...
VIDEO: Rais Samia apokewa na ujumbe wa mabango Bawacha Rais wa Samia Suluhu Hassan amewasili katika Ukumbi wa Kuringe mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, ambayo yameandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema...
Bawacha: Wanaopinga Katiba Mpya hawakupingi, bali wanakupima Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Catherine Ruge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuandika historia itakayosomwa na vizazi vyote kwa kuwezesha upatikanaji wa Katiba mpya.