Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Wanawake Chadema wafurika kumpokea Rais Samia

    Mamia ya wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka bara na visiwani tayari wamefurika katika viunga vya Ukumbi wa Kuringe mjini Moshi, wakimsubiri Rais Samia Suluhu Hassan...

  2. Viongozi wa dini, Serikali wawasili maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

    Viongozi mbalimbali wa dini akiwemo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo pamoja na viongozi wengine wa dini tayari wamewasili katika viwanja Ukumbi wa...

  3. Mwanamke ajitosa dereva bodaboda

    Imani iliyojengeka miongoni mwa wanajamii ni kwamba kazi ngumu na hatarishi zimekuwa zikifanywa na jinsi ya kiume, miongoni mwa kazi hizo ni kama vile uongozaji wa mitambo ya mashambani na...

  4. Bawacha wazuiwa kupanda miti Kiboriloni

    Viongozi wa Baraza la Wanawake Chadema wamezuiliwa kupanda miche ya matunda katika shule ya Sekondari Kiboriloni, iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro kuelekea kilele cha maadhimisho ya...

  5. Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia SMS mama mkwe

    Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake...

  6. Watoto wawili wa familia moja wateketea kwa moto Moshi

    Kamanda wa Polisi Mkoani hapa, Simon Maigwa amesema tukio hilo limetokea leo watoto hao wakiwa wamelala wakati baba yao alipoenda dukani kununua sigara.

  7. Aliyeua mke na mtoto mchanga wa wiki mbili akutwa kichakani akiwa hoi

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia, August Matemu, Mkazi wa Kirua Vunjo, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa mauaji ya mkewe, Fausta Tesha(26) na mtoto mchanga wa wiki mbili...

  8. Mbwa kichaa ajeruhi wanafunzi watatu, mmoja afariki dunia

    Mbwa anayedhaniwa kuwa na kichaa amevamia Shule ya Msingi Wama, iliyopo Tarakea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro na kujeruhi wanafunzi watatu huku mmoja akipoteza maisha

  9. Mtoto wa wiki mbili aliyechomwa kisu afariki dunia

    Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...

  10. Mwili wa mwanamke wakutwa kwenye pagale ukiwa umeteketea kwa moto

    Mwanamke huyo anadaiwa kuuawa na mpenzi wake na kisha mwili wake kuchomwa moto.

Previous

Page 92 of 144

Next