Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Mume adaiwa kumuua mkewe, kujeruhi kichanga kwa kisu

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa...

  2. Sh390 milioni kumaliza kero ya maji Holili

    Mradi huo utakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi 12,900 ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakipata mgao wa maji kwa wiki mara moja.

  3. Faida za kiafya mwanafunzi kuamka mapema

    Umewahi kuwashuhudia wanafunzi Alfajiri mapema wakiwa kweye usafiri kwenda shuleni? wengine wa umri mdogo wa madarasa ya awali, saa 11 Alfajiri wakiwa kwenye daladala au kwenye mabasi ya shule...

  4. RIPOTI MAALUMU: Malori yanavyoweka rehani roho za watu

    Uchunguzi huo umebaini, ukiacha mwendo kasi na matumizi ya vilevi, imebainika madereva huendesha malori hayo wakiwa wamewasha taa kali (full light) na mengine zikiongozewa taa za ziada ambazo ni...

  5. Sh142 milioni zakopeshwa vijana, wenye ulemavu Hai

    Akikabidhi mikopo hiyo zikiwemo fedha taslimu, bodaboda na pikipiki za magurudumu matatu (guta) yenye thamani ya zaidi ya Sh142 milioni kwa vikundi 14, Mbunge Mafuwe amewataka kuwa wazalendo...

  6. Profesa Mkenda alipia kodi waliounguliwa nyumba Rombo

    Wananchi 32 kutoka kaya 7 zilizokumbwa na ajali ya moto na kuachwa bila makazi katika Kijiji cha Mbomai, kata ya Tarakea Motamburu, wilayani hapa wamelipiwa kodi ya miezi miwili na Mbunge wa...

  7. DC Maiga akabidhi misaada kwa waathirika wa moto Rombo

    Kaya Saba zilizokumbwa na ajali ya moto na kuteketeza vyumba 11 na mali zilizokuwemo ndani katika Kijiji cha Mbomai, kata ya Tarakea Motamburu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro wameanza...

  8. 'Wachawi' ajali nchini watajwa

    Wakati la ajali za barabarani zikiendelea kugharimu maisha ya watu, wengine kujeruhiwa na au kupata ulemavu wa kudumu, wabunge wametaja sababu zinazochangia hali hiyo ikiwemo rushwa kwa baadhi ya...

  9. 32 wakosa makazi, moto ukiteketeza makazi

    Moto huo ulioteketeza vyumba 11, vikiwa na vyakula, malazi na fedha umesababisha familia za watu 32 kukosa mahali pa kuishi, huku baadhi ya wanafunzi wakishindwa kwenda shule baada ya sare zao za...

  10. Utaratibu rufaa wananchi Ngorongoro wawekwa

    Mahakama ya Rufaa ya Afrika Mashariki imeweka utaratibu wa kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na halmashauri za vijiji vinne vilivyopo wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, dhidi ya Mwanasheria Mkuu...

Previous

Page 93 of 144

Next