Hatimaye Athanas Mrema azikwa Rombo, mamia wamlilia Ajali hiyo iliyoua watu 14 wa familia moja kati ya 20 ilitokea Februari 4, katika eneo la Magira Gereza, Kata ya Magira Gereza, wilayani Korogwe, Barabara ya Segera - Buiko mkoani Tanga.
Miili 16 kuagwa viwanja vya hospitali Rombo Ajali hiyo ilitokea Februari 4, katika eneo la Magira Gereza, Kata ya Magira Gereza, wilayani Korogwe, Barabara ya Segera - Buiko na kusababisha vifo vya watu 20 mpaka sasa.
Ndugu washindwa kujizuia wakiaga miili 12 Rombo Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kuaga miili ya wapendwa wao katika viwanja vya Hospitali ya Huruma iliyopo Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kujizuia na baadhi kuzimia baada ya...
Afiwa na mume, watoto wawili, mjukuu ajalini Tanga Ni vilio na simanzi vimetawala nyumbani kwa familia iliyopoteza ndugu 14 wa familia moja kati ya 18 waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Tanga jana Ijumaa usiku wa Februari 3, 2023.
Miili ya wanafamilia 13 waliofariki ajalini Tanga kuzikwa Rombo Miili 13 ya familia moja kati ya 17 waliofariki kwa ajali ya gari Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga inatarajiwa kuwasili leo jioni, Februari 4, 2023 katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kwa...
RC Mtwara awapa neno benki kusaidia huduma za afya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas ametoa rai kwa Benki ya NMB kuendelea kufikiria vituo vingine vya afya na hata shule zenye uhitaji, baada ya kutoa msaada wa vifaa tiba kwa Hospitali ya...
Wahamasisha utoaji misaada sekta ya afya madogo 10, vitanda vya wagonjwa wasiojiweza vitano, viti vya magurudumu vitano, stendi za kusimamishia dripu 10 na screen za hospitali tano. “Afya ni moja ya kipaumbele kwa Benki ya NMB na ni...
DC Hai asema hatavumilia uzembe, rushwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro, Amiri Mkalipa amesema hatavumilia uzembe, rushwa na namna yoyote ile ya ufisadi katika wilaya hiyo na kwamba kila mtumishi aliyepo katika wilaya...
Vijana 14 watua kuchangamkia fursa ya kilimo biashara Morogoro Katika kukabiliana na changamoto ya ajira nchini, vijana 14 waliopewa mafunzo ya kilimo biashara katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wamepewa mikopo ya zaidi Sh400 milioni kwa ajili ya...
RC Babu ambana mkandarasi ujenzi wa hospitali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza kuharakishwa kwa ujenzi wa majengo saba mapya ya hospitali ya Wilaya ya Same likiwemo Jengo la mama na mtoto na kwamba ifikapo Februari mwaka...