Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro apiga marufuku wananchi kuvamia msitu

    Uoto asilia wa Msitu wa Chome, uliopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro upo hatarini kutoweka kutokana na shughuli mbalimbali za kibinadamu hali ambayo imesababisha baadhi ya vyanzo vya maji...

  2. Atuhumiwa kuwalawiti wanafunzi 18

    Akizungumzia kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda alisema kijana huyo alikamatwa Januari 21, baada ya kuzagaa kwa taarifa hizo ambapo timu ya uchunguzi ilitumwa...

  3. Watoto watatu walioteketetea moto Rombo wazikwa kaburi moja

    Watoto hao ambao ni Erick (9) Joshua (7)na Gidion Theodory (2) walifariki dunia kwa ajili ya moto na miili yao kuteketea usiku wa Januari 21, 2023 wakati mama yao akiwa hayupo huku chanzo cha...

  4. Mgogoro aliyechonga kifimbo cha Nyerere kuchimbiwa makaburi mawili

    Kuhusu kaburi moja kuchimbwa na kuachwa wazi amesema, "Tutakaa tuangalie jinsi ya kulifukia lile kaburi la mwanzo maana likibaki hivyo linaweza likaleta matatizo makubwa kwa hiyo tukishamsitiri...

  5. Watoto watatu familia moja walivyoteketea kwa moto Rombo

    Ni tukio linaloweza kudumu katika kumbukumbu ya maisha ya Karesma Theodory (39) wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kushuhudia watoto wake watatu wakiteketea kwa moto.

  6. Watoto watatu wateketea kwa moto Rombo

    Watoto watatu wa familia moja katika kijiji cha Lessoroma wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao wanakolala kushika moto.

  7. Dereva asimulia abiria wanne walivyonusurika kifo ajali Kilimanjaro

    Mpaka sasa mwili mmoja tu umetambuliwa na ndugu na mingine imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Faraja huku baadhi ya majeruhi wakihamishiwa Hospitali za KCMC na...

  8. Dereva wa lori lililoua watano Kilimanjaro mbaroni

    Akizungumzia hali za majeruhi waliolazwa katika hospitali ya Faraja, Mganga Mfawidhi Msaidizi wa hospitali hiyo, Doreen Massawe amesema hali za majeruhi hao zinaendelea kuimarika ambapo pia...

  9. Watano wafariki ajalini Kilimanjaro, wanne wajeruhiwa

    Daktari wa hospitali ya Faraja, Samweli Minja amethibitisha kupokea miili ya watu watano na majeruhi wanne.

  10. Makandarasi 50 kujenga vyuo vya Veta nchini

    Serikali kupitia bajeti yake ya mwaka 2022/23 imetenga jumla ya Sh100 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa vyuo hivyo kwa Wilaya ambazo zilikuwa hazijajengewa vyuo hivyo vya ufundi stadi.

Previous

Page 95 of 144

Next