Adaiwa kumuua baba yake saa chache kabla ya kuingia 2023
Ni masikitiko. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mzee wa miaka 81, Dionis Lyimo, mkazi wa kijiji cha Nduweni, Kata ya Marangu Magharibi, Wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro kudaiwa kuuawa...