Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1441 results for Janeth Joseph :

  1. Latra: Tumieni tiketi mtandaoni kuepuka kubambikiwa nauli

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), Mkoa wa Kilimanjaro imesema uwepo wa tiketi mtandao utasaidia kupunguza changamoto za abiria kupandishiwa nauli kiholela kuelekea kipindi cha sikukuu...

  2. Waziri Chana aonya shughuli za kibinadamu ndani ya hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana amewataka wananchi kufuata sheria na kujiepusha na uendeshaji wa shughuli za kibinadamu ndani ya maeneo yaliyohifadhiwa ikiwemo katika hifadhi ya...

  3. Paka mwenye uwezo kuishi miaka 15 agundulika Tanzania

    Paka huyu ana uwezo wa kuishi hadi miaka 15 katika mazingira yake ya asili na miaka 17 kwenye mazingira ya kufugwa, akiwa mkubwa anafikisha uzito kati ya kilo 5.5 hadi 16, ambapo kima chake ni...

  4. Wafanyabiashara nyamapori watakiwa kuwa na bustani kufuga wanyamapori

    Serikali imewataka wafanyabiashara wenye mabucha ya nyamapori nchini kuanzisha bustani zao binafsi za kufuga kwa ajili ya kuchinja badala ya kutegemea wanyama ambao tayari wametunzwa na wako...

  5. Wizara yarejesha mafunzo

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema imerejesha mafunzo ya askari, wakaguzi na maofisa wa uhamiaji nchini yaliyokuwa yamesitishwa kwa muda mrefu.

  6. Wakongwe waingia, watupwa CCM

    Uchaguzi wa CCM ulioanza kuandia juzi ngazi ya mkoa umerejesha wakongwe wa siasa nchini huku wenyeviti kwenye mikoa minne yenye majiji -- Dar es Salaam, Mwanza, Tanga, Mbeya na Dodoma waking’olewa.

  7. Watuhumiwa 24 kesi ya mauaji Ngorongoro waachiwa huru

    Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) amewasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi ya mauaji iliyokuwa inawakabili watu 24 wa Wilaya ya Ngorongoro wakiwemo madiwani 10 na aliyekuwa...

  8. TRA K’njaro yajivunia mafanikio ikivuka lengo la makusanyo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kilimanjaro imekusanya Sh227.72 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/22 ambapo ni zaidi ya asilimia 108 ya lengo lililokusudiwa la Sh210.52 bilioni.

  9. Hakimu akwamisha kesi ya Sabaya kuendelea

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa tena leo Jumatatu, Novemba 21, 2022 baada ya upande wa mashitaka kuieleza...

  10. Prof Mwaikambo atoa wito kwa wahitimu wa taaluma ya afya nchini

    Wahitimu wa kada mbalimbali za afya hapa nchini wametakiwa kutumia taaluma zao kutoa huduma za afya zisizo na dosari na zinazoweza kusababisha madhara kwa binadamu na kufuata maadili msingi ya...

Previous

Page 98 of 145

Next