Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1441 results for Janeth Joseph :

  1. Rombo kupata taarifa za nchini

    Mwingiliano wa masafa ya redio za nchi jirani ya Kenya na ndani ya nchi katika wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro kumemwibua mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Fedha nchini Tanzania, Godfrey Mramba...

  2. Makali ya maji kama kawaida

    Mmoja wa watumiaji wa huduma hiyo, John Mgaya anayefanya shughuli zake katika eneo la Kimara alisema kutokana na changamoto ya upatikanaji wa maji gharama ya huduma hizo imepanda kufikia hadi...

  3. Viongozi wa dini: Serikali ipige marufuku pombe za kienyeji Kilimanjaro

    Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kupiga marufuku pombe za kienyeji zinazotumia mazao ya chakula hasa mahindi na ndizi kwa kuwa zinapunguza kiwango kikubwa cha...

  4. RC Kilimanjaro awatuliza wananchi mgogoro wa ardhi

    Serikali imewataka wananchi wa vijiji vitano vya kata ya Kia, wilayani Hai ambavyo vina mgogoro na Kampuni ya Usimamizi na Uendelezaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO)...

  5. Utetezi kesi mauaji askari Loliondo walia upelelezi kutokamilika

    Wameieleza mahakama endapo Novemba 22,2022 upelelezi wa shauri hilo utakuwa haujakamilika, watapeleka maombi ili RCO Arusha afike mahakamani hapo kueleza kuhusu upelelelezi wa shauri hilo

  6. Asimulia alivyosota gerezani miaka 30 akisubiri kunyongwa

    Maisha ni safari ndefu, hivyo ndivyo unavyoweza kusema unapokutana na simulizi ya Faris Lyimo, mkazi wa Njoro Manispaa ya Moshi, aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji ya...

  7. Wakazi Tarakea waomba kujengewa stendi

    Wananchi wanaouzunguka Mji wa Tarakea Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kuwatengea eneo maalumu la stendi kutokana na eneo linalotumika kwa sasa kutokuwa na hadhi ya kuwa...

  8. Wakazi Tarakea waomba kujengewa stendi

    Wananchi wanaouzunguka Mji wa Tarakea Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kuwatengea eneo maalumu la stendi kutokana na eneo linalotumika kwa sasa kutokuwa na hadhi ya kuwa...

  9. Kova atoa 'drones' kuchunguza masalia ya moto mlima Kilimanjaro

    Wakati moto ukiendelea kudhibitiwa katika mlima Kilimanjaro, Kamishna mstaafu wa Jeshi la polisi nchini, Suleiman Kova ametoa "drones" mbili kwa serikali kwa ajili ya kusaidia kuchunguza masalia...

  10. Serikali kupima eneo la KIA kumaliza mgogoro

    Serikali imesema itapima eneo lote la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na Kampuni ya uendeshaji ya Uwanja huo (KADCO), ili kumaliza mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 kati ya...

Previous

Page 99 of 145

Next