Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1441 results for Janeth Joseph :

  1. Uelewa wa watu kujua haki zao waongezeka

    Wadau wa haki za binadamu nchini wamesema jitihada zinazofanywa na baadhi ya vyuo vikuu kutoa kozi ya haki za binadamu imesaidia kwa kiasi kikubwa jamii kuzijua na kuzitambua haki zao

  2. Wananchi waililia Serikali kuwanusuru vipigo vya mgambo Rombo

    Wananchi hao wa Kata ya Tarakea Motamburu wanadai kupigwa na mgambo wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo na kulazimishwa kutoa fedha kisha kunyang'anywa simu zao wanapopita pembezoni wa msitu kwenda...

  3. Moto warejea tena Mlima Kilimanjaro

    Maeneo ambayo moto ulidhibiwa katika Mlima Kilimanjaro umerudi kuwaka kwa mara nyingine, hali inatajwa kusababishwa na mabaki ya moto yaliyokuwepo kwenye mboji na upepo mkali.

  4. Moto mlima Kilimanjaro waendelea kudhibitiwa kilometa za mraba 2.5 zikiteketea

    Moto uliowaka katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro kwa siku tatu mfululizo unaendelea kuzimwa na eneo kubwa likidhibitiwa huku eneo la kilometa za mraba 2.5 kati ya kilomita za mraba 1,712 zikiwa...

  5. Profesa Sedoyeka: Kuna mafanikio udhibiti moto mlima Kilimanjaro

    Wakati vikosi mbalimbali vya majeshi nchini vikiongeza nguvu kuzima moto katika mlima Kilimanjaro, Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Profesa Eliamani Sedoyeka amesema hadi kufika leo Jumapili...

  6. Mzee wa miaka 70 akatwa uume Moshi

    Katika hali ya kustaajabisha mzee wa miaka 70, mkazi wa kijiji cha Uru Shimbwe, mkoani Kilimanjaro, Uruban Paul amevamiwa nyumbani kwake usiku na watu wasiojulikana na kisha kumkata sehemu zake...

  7. JWTZ kuongeza nguvu kuzima moto mlima Kilimanjaro

    Wakati moto ukiendelea kuwaka siku ya pili katika mlima Kilimanjaro, Serikali imeliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kuongeza nguvu ili kuweza kuudhibiti moto huo ambao unaeleza kusambaa kwa kasi...

  8. VIDEO: Ndege yashindwa kufika eneo la moto mlima Kilimanjaro

    Ndege ya Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) iliyokuwa imebeba kamati ya usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro imeshindwa kufika na kufanya tathimini ya athari ya moto katika eneo la Karanga Camp...

  9. Jitihada kuuzima moto mlima Kilimanjaro zaendelea

    Askari zaidi 300 wamepelekwa katika mlima Kilimanjaro kuudhibiti moto uliozuka jana Ijumaa usiku katika eneo la Karanga Camp lililopo mita 3963 kutoka usawa wa bahari.

  10. VIDEO: Moto wazuka mlima Kilimanjaro

    Kamishina wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi Tanzania (Tanapa), William Mwakilema amesema vikosi vinaelekea kuuzima moto huo.

Previous

Page 100 of 145

Next