Wananchi wataja wanayotarajia kwa Rais akihitimisha mbio za Mwenge Baadhi ya wakazi wamesema shauku yao ni kusikia Rais Samia akitatua changamoto ya maji, akisisitiza uwajibikaji kwa viongozi na watumishi wa Serikali na ubovu wa miundombinu ya barabara
Upatikanaji maji Mwanza bado changamoto Takwimu za Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022 zinaonyesha asilimia 24.9 ya majengo milioni 13.9 (13,907,951) ya Tanzania Bara yana huduma ya maji, huku hali ikiwa tofauti kwa majengo milioni 10.
PRIME Wacheza bao walivyoasisi jina la Mwanza Baada ya Tanganyika kupata uhuru, Mkoa wa Mwanza ulianzishwa rasmi mwaka 1963 ukiwa na wilaya nne za Ukerewe, Geita, Mwanza na Kwimba. Na baadaye kufuatiwa na wilaya za Magu, Sengerema, Misungwi,...
Miili zaidi yaopolewa Ziwa Victoria ajali ya kuzama mtumbwi Ajali ilitokea baada ya mtumbwi huo kugonga mwamba, hivyo ulipinduka na kuzama.
Madumu ya petroli yalivyookoa watu 29 kuzama Ziwa Victoria Watu 29 wamenusurika kifo baada ya mtumbwi wao kuzama Ziwa Victoria huku wakitaja madumu ya petroli kunusuru maisha yao.
Nyuki watajwa chanzo soko la Machinga Mwanza kuteketea Soko la Machinga la Ukwaju lililopo eneo la Igoma Kata ya Kishiri jijini Mwanza, linalokadiriwa kuwa na zaidi ya wafanyabiashara 70 na vibanda zaidi ya 3,000, limeteketea kwa moto.
Viongozi wa dini Mwanza walaani vitendo vya mauaji Wamevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kutokata tamaa na badala yake viendelee kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.
Mpina aliamsha jimboni amtaka DED, DC kurejesha Sh50 milioni za wananchi Septemba 4, 2024, Halmashauri ya Meatu ilianza operesheni ya kukamata watu kwa madai ya kutokuwa na vyoo.
Waliositisha masomo kwa ujauzito wasimulia machungu Sasa wamepata matumaini baada ya kurejea katika mfumo wa elimu baada ya kupata mafunzo ya ufundi stadi.
Sangara wapungua Ziwa Victoria, Serikali ikitangaza kudhibiti uvuvi haramu Wakati uvunaji wa samaki aina ya sangara ukishuka kutoka tani 91,709 mwaka 2019 mpaka tani 80,265 mwaka 2023, sababu ya upungufu huo imetajwa kuwa ni uvuvi haramu.