Maofisa kozi ya kistratejia waweka kambi Kagera Maofisa 10 waandamizi wa kijeshi, kiraia na vyombo vya ulinzi na usalama kutoka ndani ya nchi na nchi rafiki, ambao ni wanachuo wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC), wamepiga kambi ya...
Mwanamke auawa na wanaodaiwa kuwa ‘michepuko’ yake Wanaotuhumiwa kumuua ni Mtalemwa Answali pamoja na Kennedy Muganyizi, wanaosadikiwa kuwa ni michepuko yake.
Polisi timamu kwa ulinzi Krismasi, Mwaka Mpya Wakati Watanzania wakisherehekea sikukuu ya Krismasi leo Desemba 25, 2024, Jeshi la Polisi limewahakikishia usalama likiwataka wananchi kuchukua tahadhari, hasa kuwalinda watoto.
11 wafariki ajali ya basi Kagera, 16 wakijeruhiwa Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda ajali hiyo imetokea saa 8 mchana baada ya basi hilo kufeli breki na kuanza kurudi nyuma wakati kondakta akimshusha mtoto.
Dk Biteko awaita wawekezaji kutumia fursa Mkoa wa Kagera Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaomba wafanyabiashara kutambua fursa za uwekezaji zilizopo mkoani Kagera na kuzichangamkia ili kukuza uchumi wa mkoa huo.
Mzee wa msikiti afariki dunia kwa kushambuliwa na nyuki Mzee mmoja mkazi wa Omurushaka Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Haruna Gabery (75) amefariki dunia baada ya kushambuliwa na nyuki akiwa msikitini akifanya maandalizi ya swala ya jioni.
Kesi ya mauaji ya Asimwe yapigwa kalenda "Siku 42 zimeisha na tarehe ya leo alipaswa awepo, ila mpaka sasa mahakama haijapokea taarifa kamili kuhusu vipimo alivyofanyiwa baada ya kupelekwa huko,"
Mama Asimwe akabidhiwa nyumba na UVCCM Kagera Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera umemkabidhi nyumba yenye thamani ya Sh12 milioni, mama mzazi wa marehemu mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath aliyeuawa na kunyofolewa...
Saba wafariki dunia, tisa majeruhi ajali iliyohusisha lori, Hiace na Costa Watu saba wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katikia ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania, Toyota Hiace na Coaster eneo la Kihanga mkoani Kagera.
Ajali ya Hiace, lori yaua, yajeruhi Karagwe Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya lori la mizigo aina ya Scania kugongana na Toyota Hiace inayofanya safari kati ya Kayanga wilayani Karagwe na Bukoba Mjini.