Search

64 results for Angetile Osiah :

 1. Kiini cha matatizo ‘Kwa Mkapa’

  Haikuwa siku nzuri kwa mashabiki wa mchezo wa soka nchini na hata nje ya nchi, walioshuhudia kwa mara nyingine, umeme ukikatika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini hapa.

 2. SIO ZENGWE: Mameneja wa Fei Toto hawastahili malipo

  NI kitu kibaya sana kwangu kuzungumzia sakata moja kwa wiki mbili mfululizo, lakini nimelazimika kufanya hivyo kutokana na umuhimu wake.

 3. Yanga vs Simba; hii huwezi kuikuta sehemu nyingine

  MWAKA 2012, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ashford Mamelodi aliniomba nimuandikie habari nzuri kuhusu mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga, baada ya kushuhudia...

 4. Yanga iige Simba kwa lipi?

  ULIPOWASHA televisheni ukaona haiunganishi na king’amuzi, kitu cha kwanza kufanya ni kwenda kuangalia kama waya unaotoka kwenye king’amuzi umeunganishwa vizuri na runinga. Ukikuta umeunganishwa...

 5. SIO ZENGWE: Mgunda na ile 'kiwango chake kimeishia hapo'

  MWAKA 1998, Tito Mwaluvanda aliiongoza Yanga kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6-1 na hivyo vigogo hao wa Tanzania kuwa moja ya timu nane zilizofuzu kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa...

 6. Miaka 20 panyarodi bado ni walewale

  Ni jioni yapata saa 1:00 jioni, wakazi wa Tabata wanakimbia huku na huko kwa hofu ya kushambuliwa na kuporwa na vijana wadogo wanaosemekana wana visu na mapanga.

 7. Yanga yalipa CAF Kisinda acheze

  na kumuingiza mwingine na tulifanya hilo kwa kuzingatia muda wa usajili.” KAULI YA TFF Taarifa iliyotolewa na TFF jana, japokuwa haikutaja timu yoyote, iliandikwa hivi: “kwa mujibu wa kanuni 62...

 8. SIO ZENGWE: Somalia, Comoro wametufikia, kuna nini?

  JUMAMOSI Timu ya Taifa ya wachezaji wanaoshiriki ligi za ndani ilifanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa kuiondoa Somalia kwa jumla ya mabao...

 9. Huu ndio uchaguzi uliobeba taswira mbaya tangu Uhuru

  Uchaguzi Mkuu wa 2020 ndio unatajwa kuwa mbaya kuliko chaguzi zote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi kutokana na idadi kubwa ya wapinzani kuondolewa, kunyimwa fomu na matokeo kutangazwa...

 10. Nyerere alivyoiandaa CCM kwa vyama vingi-2

  Katika toleo lililopita tulianza kuangalia namna Baba wa Taifa, Julius Nyerere alivyokuwa na pande mbili katika suala la demokrasia, upande mmoja alionekana ni mkandamizaji na upande mwingine...

Page 1 of 7

Next