Upungufu wa watumishi wachelewesha utatuzi wa migogoro ya ardhi Lindi
Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Geofrey Mugisha, amesema hadi sasa idara hiyo ina jumla ya watumishi 41 pekee, hali inayokinzana na mahitaji halisi ya zaidi ya watumishi 100 kwa ngazi ya mkoa na...