Search

166 results for Bertha Ismail :

 1. Dakika 90 za mvua maandamano ya Chadema

  Licha ya uwepo wa mvua hiyo, na baadhi ya watu kulazimika kutafuta maeneo ya kujisitiri, viongozi na wafuasi wengine waliendelea kuandamana huku wakinyeshewa mvua

 2. Maandamano Chadema katikati ya mvua Arusha

  Viongozi wakuu wa Chadema, waongoza maandamano wakinyeshewa mvua.

 3. Maandamano ya Chadema kuhitimishwa Arusha

  Awali, maandamano ya Chadema yalianzia jijini Dar es Salaam kwa waandamanaji wakiongozwa na viongozi wao wakuu, Freeman Mbowe (mwenyekiti), Tundu Lissu (makamu mwenyekiti-bara), John Mnyika...

 4. DNA ya mazao kuwabana wafanya biashara mipakani

  Mbali na kubaini wafanyabiashara wasio waaminifu, pia teknolojia hiyo ya kupima vinasaba vya mazao itasaidia kujua ni mazao yapi yanaingizwa na kuuzwa nje kwa wingi.

 5. Mzazi alivyoutambua mwili wa mwanaye kichakani ukiwa umetobolewa macho

  Lekule Nnko ameeleza awali alienda eneo la tukio kushuhudia pasipo kujua ni mwanaye aliyeuawa

 6. Aliyepigwa ngumi akiomboleza msiba wa Lowassa kutua Monduli

  “Yalikuwa ni mapenzi tu kwa baba yetu Lowassa,” haya ni maneno ya Benedict Michael Mwakanyamale (43), aliyeshambuliwa jana kwa kupigwa ngumi wakati akiomboleza msiba wa Waziri Mkuu mstaafu...

 7. Aliyepigwa ngumi akiomboleza msiba wa Lowassa kutua Monduli

  Amesema Lowassa amekuwa mshirika mkubwa katika maendeleo ya Arusha na kwamba amesaidia jamii katika mambo mengi ikiwemo mitaji ya biashara kwa vijana.

 8. Simanzi tupu mapokezi ya Lowassa

  Nyuso za majonzi zilitawala na machozi kuwatoka wanakijiji wa eneo hilo, pale walipoona msafara na hasa gari lililobeba mwili wa Lowassa likipita

 9. Wakulima Arumeru wageukia pareto

  Wakulima wengi kwa Kisimiri Juu wilayani Arumeru wanadaiwa kujihusisha na kilimo cha dawa za kulevya aina ya bangi, hivyo uamuzi wa kupewa miche hiyo ya pareto ni katika kupunguza kilimo kama...

 10. Dk Mpango amtabiria mtoto kukalia kiti cha Makamu wa Rais

  Dk Mpango amesema kwa kuwa mtoto huyo amezaliwa akiwa anazindua kituo hicho na amepewa jina lake atakuwa ni mrithi wa wadhifa wake wa Makamu wa Rais miaka ijayo.

Page 1 of 17

Next