PRIME Mwalimu auawa kinyama, mtoto wake ajeruhiwa Ni mauaji ya kinyama! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwalimu wa Shule ya Msingi Nyakatundu iliyopo Rufiji mkoani Pwani, Rafaela Msemwa kuuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana usiku wa...
Ludewa kitimoto ruksa, masharti kuzigatiwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa umeruhusu kwa masharti, matumizi ya nyama na mazao ya Nguruwe, baada ya kupunguza kasi ya kusambaa kwa ugonjwa wa homa ya Nguruwe iliyokuwa imeikumba...
RC Njombe awataka wananchi ‘kutopagawa’ fidia Liganga, Mchuchuma Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka awaasa wanufaika wa fidia za Liganga na Mchuchuma kutuliza akili na kupanga matumizi bora ya fedha zao za malipo ya fidia.
DC Ludewa ahimiza ushirikiano wataalamu, madiwani Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva awaomba wataalamu kushirikiana na Madiwani katika utekelezaji wa majukumu yao.
Rais Samia aidhinisha Sh15.4 bilioni fidia Liganga, Mchuchuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, aidhinisha fedha za malipo ya fidia kwa Wananchi wa Mchuchuma na Liganga, Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe.
Mwenge wa Uhuru wapitisha miradi yote wilayani Ludewa Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilayani Ludewa zilifanywa Aprili 25, 2023 na kuukabidhi wilayani Njombe jana Aprili 26, 2023.
DC Ludewa amshukuru Rais Samia kwa fedha za zahanati ya kijiji Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amepiga magoti kumshukuru Rais kwa fedha zilizotolewa kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kimelembe.
Kiongozi Mbio za Mwenge achukizwa kuchelewa ujenzi ofisi za halmashauri Abdallah Shaibu Kaimu, Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa achukizwa na kasi ya ujenzi wa jengo la ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Kitimoto chapigwa marufuku Ludewa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku uingizwaji wa Nguruwe na matumizi ya mazao yatokanayo na nguruwe wilayani humo.
Bweni la wavulana lateketea moto Ludewa Bweni la wavulana Shule ya Sekondari Lugarawa Wilayani Ludewa limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia Februari 15, 2023 na kupelekea uharibifu wa mali za wanafunzi na shule.