Mtumbwi wazama Kisiwa cha Rukuba, watatu wahofiwa kufa Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga (kushoto) akimkabidhi askari magereza mstaafu Christina Mjema (90) mafao yake ya nauli ya mizigo ya Sh500,000 aliyosotea kwa miaka 31 tangu astaafu...
Alipwa mapunjo ya nauli ya Sh500,000 aliyosotea kwa miaka 31 Askari mstaafu wa Jeshi la magereza, Christina Mjema (90) amepatiwa malipo yake ya nauli ya mizigo Sh500,000 ya kutoka gereza la Babati mkoani Manyara hadi nyumbani kwao Wilaya ya Same...
Lundenga azikwa makaburi ya familia Kidatu Morogoro Mwili wa aliyekuwa mratibu wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, umezikwa leo Aprili 22,2025 katika makaburi ya familia, Kidatu, mkoani Morogoro.
Nguvu ya ziada yahitajika Mashindano ya Miss Tanzania Katikati ya wiki hii liliibuka sakata la Miss Tanzania 2023, Tracy Nabukeera kutangaza hatoshiriki Miss World 2025
Mdogo wa marehemu Carina asimulia alichoambiwa na dada yake kwa mara ya mwisho Dar es Salaam. Mdogo wa marehemu Hawa Hussein (Carina), Saphinewi Salvan amesema dada yake alimuahidi akirudi nchini atawaasili (adopt) watoto wake kisheria. “Tarehe 14 tuliongea sana kila...
Mama wa marehemu Carina aeleza magumu aliyopitia mwanaye Mama wa aliyekuwa mwigizaji Hawa Hussein ‘Carina’ amesema uvimbe tumboni ndiyo ugonjwa uliomuua mwanaye
Basila afafanua madai ya Miss Tanzania 2023 kupigwa chini Mkurugenzi wa Kampuni ya Look inayoendesha mashindano ya kumsaka Miss Tanzania, Basila Mwanukuzi amesema Miss Tanzania 2023, Tracy Nabukeera hajajitoa kushiriki Miss World 2025 kwani sio yeye...
PRIME Kilichojificha nyuma ya mastaa kuvaa miwani nyeusi Juzi kati wakati nipo kwenye harakati za mtu mweusi nikazama chimbo moja hivi ninalopenda kutembelea mara kwa mara
Manara: Siwezi kufanya kiki za mapenzi, msimamo wangu ni huu... Unaweza kusema haikuwa bahati kwa waliokuwa wakipendanao, Haji Manara na mwigizaji Zaiylissa. Baada ya wawili hao kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii wakionesha penzi lao si penzi tena...
Makabila atoa msimamo kinachoendelea ndoa ya Zaiylissa na Manara Mwanamuziki wa Singeli, Dullah Makabila ameiambia Mwananchi kuwa ameumizwa na taarifa zinazodai mwigizaji Zaiylissa ameachana na mumewe Haji Manara.