Search

98 results for Dk Levy :

 1. Tusijizime data kukumbatia mwonekano, kuacha vipaji

  Kuendekeza sura na mionekano kunaimaliza sanaa. Isiwe kitu cha kuchukuliwa juujuu tu. Kama kweli tuna uchu na maendeleo ya kweli ya sanaa hii kuna kitu tunatakiwa kufanya. Tunapwaya kwa...

 2. Harmo huku hayupo, lakini kwa mashairi na 'melodi' yupo katika dunia yake

  Siyo kuandika tu, hata 'melodi' zake na uwezo wa kutafuta visa vya kuandikia nyimbo zake...amejipata.

 3. Nini kina Whozu? kuna mambo 'mobu' kwenye simu...

  Whozu, Mbosso na Bilinenga. Wamepigwa stop kudili na muziki kwa miezi kadhaa. 'Maskanka' sijui 'mabapa', yalirusha stimu zao masela na kufanya video wanayoijua wao na pisi zao. Mamlaka ikakunjua...

 4. Kuna ‘ushosti’ wa VPN na video za wasanii

  Teknolojia inazidi kupata maarifa sambamba na watu wengi kwenye jamii wanavyopoteza busara vichwani. Ukitaka kujua hilo zama mitandaoni utazame upotevu wa fikra na busara kwa watu wengi vichwani...

 5. Kilele cha ‘Jiniasi’ Nyerere Julius

  Akili kubwa imelala kijijini Butiama pale. Ni Baba wa Taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwaka wa 24 huu ‘kiranja’ wetu huyu hatupo naye. Wacha tule ‘wikiendi’ tukifurahia maisha yake.

 6. Tofauti ya Kajala na Paula iko hapa

  Paula! Na mabinti wengine wa kizazi cha miaka ya 2000. Wana tofauti kubwa na Kajala na mabinti wa kizazi cha miaka ya 1990 kushuka chini. Na tofauti yao ipo katika malezi tu.

 7. Khaligraph angejibiwa na mstari mmoja wa Solo Thang

  Siyo yeye tu! Ulimsikia Ommy Dimpoz baada ya kifo cha Ngwair? Alisema wasanii hawapaswi kufa maskini. Wachache sana walimuelewa baada ya kauli hiyo. Alimtazama vibaya. Vidole alinyooshewa kama...

 8. FA vua suti, tupe 'rimiksi' ya mabinti kitaani hatuelewi

  Hasara! Ndiyo, ya pesa ya kinywaji kilichotoweka kichwani. Baada ya kusikia maneno ya kuumizana ya kibwege kutoka kwa bwege mmoja hivi.

 9. Sugu kutoka yo! rap hadi ‘Bongoflava library museum in Dar’

  Kama utani hivi ikaanza Summer Jam. Bongofleva ikiwa chini ya wahuni tu. Ilikuwa ngumu sana asiyerap (michano) kupokelewa kwa nguvu na mashabiki. Mashabiki walitaka wachanaji tu.

 10. Kabla ya Wema na Uwoya, hebu jitazame…

  Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na kuishi kimazoea...

Page 1 of 10

Next