Search

16 results for Dorcas Hhando :

 1. Watano wauawa kwa kuchinjwa Kenya

  Kenya. Kikundi cha Al-Shabaab kimevamia vijiji viwili vya Salama na Juhudi vilivyopo katika Tarafa ya Mkunumbi, Kaunti ya Lamu na kuua watu watano na kuteketeza nyumba zaidi ya tano. Kwa mujibu...

 2. Wanajeshi 7 wauawa, wengine 18 wajeruhiwa Somalia

  Takribani wanajeshi saba wanadaiwa kuuawa na wengine 18 kujeruhiwa na wanamgambo wa Al-Shabaab baada ya mabomu yaliyotegwa ndani ya magari mawili kulipuka.

 3. Kesi ya mtoto wa Biden yazidi kuchukua sura mpya

  Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Merrick Garland amekanusha madai ya mwanasiasa wa Republican kuhusu mtoto wa Rais wa nchi hiyo aitwaye Hunter Biden wa Chama cha Democratic amependelewa na idara ya...

 4. Rais Samia afanya uteuzi, yumo aliyewahi kuwa DC Hai

  Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa mabalozi nane wakiwamo maofisa wawili kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 5. Trump akutwa na kesi ya unyanyasaji kingono

  Jinamizi bado linamtafuna Rais wa zamani wa Marekani Dornald Trump baada ya mahakama mjini Manhattan kumkuta na kosa la kumnyanyasa kingono mwandishi wa jarida Jean Carrol (79). Shirika la Habari...

 6. ‘Yesu’ wa Tongaren aitwa polisi kwa mahojiano

  Mhubiri na kiongozi wa dhehebu la ‘New Jerusalem,’ Eliud Wakesa maarufu kama ‘Yesu wa Tongaren’ ametakiwa kuripoti kwa maafisa wa Polisi kwa mahojiano na upelelezi kuhusu mahubiri yake. Redio ya...

 7. Waliozamia Afrika Kusini walimwa faini Sh300,000

  Watanzania 43 wamehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Kisutu kulipa faini ya Sh300, 000 kila mmoja au kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la kwenda nchini Afrika Kusini bila ya kufuata taratibu za...

 8. Mmomonyoko wa maadili watajwa chanzo cha ukatili

  Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Taasisi ya kijamii inayoshughulikia maendeleo, ukatili wa kijinsia (FAGDI), imesema ukatili unaoendelea...

 9. Bibi wa miaka 62 afia kisimani akijaribu kuchota maji

  Anna Keto (62), mkazi wa mtaa wa Mikocheni C Madale amekutwa amefariki, baada ya kudondokea kwenye kisima cha maji kilicho nyuma ya nyumba yake. Tukio hilo limetokea Aprili 26 mwaka huu, mchana...

 10. Matibabu ya malaria sasa kutolewa bure Tanzania

  Serikali imeondoa gharama zote zinazohusu ugonjwa wa Malaria kuanzia huduma za upimaji kwa kutumia kipimo cha MRDT, sindano za Malaria kali, dawa za ALU pamoja na SP zinazotolewa kwa wajawazito.

Page 1 of 2

Next