Search

83 results for Edo Kumwembe :

 1. Tumuombee Pogba yupo katika miaka ya tabu

  MWAKA wa tabu. Aliwahi kuimba rafiki yangu Ally Choki. Moja kati ya nyimbo bora ambazo zinaashiria matatizo ya mfululizo kwa mwanadamu. Wakati mwingine ni kama filamu ya kutungwa. Wakati mwingine...

 2. JICHO LA MWEWE: Machozi ya Nabi katika mwisho wa kiume wa Yanga Algeria

  Mwishoni kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya...

 3. JICHO LA MWEWE: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

  INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia...

 4. NYUMA YA PAZIA: Unamkumbuka James Rodriguez? Yuko hoi

  UNAPOJIKUMBUSHA kwamba Lionel Messi ana miaka 35. Unapojikumbusha kwamba Thiago Silva ana miaka 37. Unapojikumbusha kwamba Luka Modric ana miaka 37. Unapojikumbusha kwamba Cristiano Ronaldo ana...

 5. JICHO LA MWEWE: Kwa Fei Toto wa Stars wote tumevuna tulichopanda

  MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini.

 6. JICHO LA MWEWE: Simba imeingia katika mtego mgumu wa panya

  Masikitiko yao makubwa yatakuwa kwa John Bocco aliyepoteza nafasi tatu, huku moja ikiwa ya wazi zaidi baada ya kuwatambuka walinzi wa Horoya, lakini akashindwa kumchambua vyema kipa wao na...

 7. HISIA ZANGU: Bocco anatuchezea akili zetu dakika za majeruhi

  JINA? John Bocco. Umri? Miaka 33. Mahala pakuzaliwa? Dar es salaam. ndivyo mtandao wa Wikipedia unavyoeleza pindi linapokuja suala la wasifu wa John Bocco. Katika soka letu huwa tunaamini kwamba...

 8. Ni uzembe uliosababisha vifo 19

  Wadau waeleza upungufu mkubwa kwenye mfumo wa uokoaji nchini.

 9. Edo: Kuna mambo mawili uzembe na umaskini, sisi tumechagua vyote

  Na baada ya dogo kupewa Sh milioni moja, tujiulize. Tupo tayari kukabiliana na majanga ya usoni? Kwamba boti linaloenda Zanzibar ghafla limepata moto pale katikati watu watafikiwa kwa muda gani...

 10. HISIA ZANGU: Ronaldo haamini kama jua limezama magharibi

  MWISHO wa kila siku njema au mbaya, jua huwa linazama upande wa Magharibi. Linaacha rangi nzito ya kupendeza. Njano iliyochanganyika na nyekundu. Haijalishi ni siku uliyopokea habari ya msiba...

Page 1 of 9

Next