Wanafunzi 20, walimu wawili wajeruhiwa kwenye ajali ya basi la shule Mtwara. Wanafunzi 20 walimu wawili na dereva wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha ya basi la shule na gari la Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika eneo la Magomeni, njia ya kutokea Newala kwenda...
Upinzani wataka kauli ya Samia kuenguliwa wagombea Dar/Mtwara. Vyama vya siasa vya upinzani vimemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan, vikimuomba kuingilia kati kuhusu kuenguliwa wagombea wake katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na...
Madiwani upinzani Mtwara wasusia kikao kisa kuenguliwa wagombea Msimamizi huyo anadaiwa kuwaengua baadhi ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti kwa madai ya kujaza vibaya fomu za uteuzi wa wagombea.
Madiwani walia uchakavu Shule ya Msingi Litembe Zaidi ya wanafunzi 260 wa Shule ya Msingi Litembe iliyopo katika Kata ya Madimba Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara wako hatarini kutokana na uchakavu wa majengo wanayotumia.
TMDA yaonya wanaosafirisha dawa za binadamu kwa matenga Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kusini imekamata dawa zenye thamani ya zaidi ya Sh200,000 wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara zilizokuwa zikisafirishwa kwa pikipiki ndani ya matenga...
Bodaboda atekwa, auawa Marehemu alikuwa dereva bodaboda katika kijiwe cha Jangwani ambapo siku ya Septemba 19,2024 saa tatu usiku akiwa na pikipiki yake yenye namba za usajili MC827EHW, alikodiwa na watu ambapo...
Tozo saba zapunguzwa mnada wa korosho ukikaribia kuanza Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred ametangaza kuanza kwa minada ya korosho ghafi nchini ifikapo Oktoba 11, 2024.
Wawili washikiliwa na Polisi Mtwara kwa mauaji Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji katika matukio mawili tofauti ambapo watuhumiwa hao, kila mmoja alitumia kipande cha mti kumshambulia mwenzake na...
Mtwara kusaini mikataba ya Sh23.5 bilioni ujenzi wa barabara Imeelezwa kuwa, ujenzi huo wa barabara utaamsha ari ya uwajibikaji na usimamiaji wa miradi mingine
TMDA yaonya matumizi ya Vega kuongeza nguvu za kiume Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) Kanda ya Kusini, imetoa onyo kali kuhusu matumizi ya dawa ijulikanalo kwa jina la Vega, inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume.