Chalamila ashtukia upigaji soko la Zakhiem, asitisha uzinduzi Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, amesitisha uzinduzi wa Soko la Zakhem baada ya kubaini uwapo wa madalali waliochukua fedha za watu kwaajili ya kuwauzia vizimba.
PRIME Serikali yachanja mbuga, uwekezaji bandari Serikali imesema inaandaa nyaraka kwa ajili ya utekelezaji wa makubaliano ya uwekezaji wa bandari kati yake na Dubai.
Mnyika ataka ‘amsha amsha’ Dar ianze kabla ya 2025 “Ni lazima kwa kuwa wametuchelewesha kwa miaka miwili, wakati tukisubiri kuwaondoa mwaka 2025 lazima Chadema kuanzia uongozi wa Mkoa, Kanda na Jimbo muwe sauti ya wananchi kwa sababu sauti ya...
Wilaya zote nchini kuwa na intaneti mwakani Alisema huduma hiyo itawezesha wananchi wote nchi nzima kupata intaneti na wameshaanza kutoa huduma hiyo ambayo inapunguza gharama na huduma itafika maeneo mengi zaidi.
PRIME Dk Slaa: Siogopi jela, sitishiki Siku sita baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi, Balozi Wilbrod Slaa amesema hataogopa jela kwa kuwa hata Mungu atampongeza na kumshukuru kwa kutimiza wajibu wake.
Ruksa kampuni kuomba kibali kusafirisha abiria saa 24 Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri wa Barabarani kutoka Mamlaka hiyo, Johansen Kahatano imeeleza kuwa, baada ya kupokea maombi hayo hatua itakayofuata ni kuyachakata, ili...
Chalamila aunda timu kuchunguza uendeshwaji masoko Dar Siku mbili tangu kuvunjwa kwa uongozi wa soko la Mababo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameunda kamati itakayofanya uchunguzi kwenye masoko yote.
Balozi Dk Slaa 'afunguka,' haogopi jela Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa, ameweka wazi msimamo wake ikiwa ni muda mfupi baada ya kuachiwa...
Polisi yathibitisha Mwabukusi, Mdude wanashikiliwa kwa mahojiano Jeshi la Polisi linawashikilia Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyangali maarufu Mdude kwa mahojiano kutokana na maneno ya uchochezi wanayodaiwa kuyatoa.
Polisi Dar yawadaka watatu, wadaiwa kujeruhi, kuporaji daraja la Salenda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika eneo la daraja la Salenda