Udom kusuka mitalaa, yatamba kuzalisha wahitimu bora Chuo Kikuu cha Dodoma kimeanza mkakati wa kufanya mageuzi makubwa ya kitaaluma kupitia Mradi wa Elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET).
Bashe apeleka kicheko kwa wakulima wa shayiri Waziri wa Kilimo Hussen Bashe ametangaza neema kwa wakulima wa shayiri akiwataka kuongeza uzalishaji zaidi kwani wamepata soko la uhakika.
Mbunge ataka tembo wapatiwe uzazi wa mpango Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate ameomba Serikali kuwapatia tembo uzazi wa mpango ili kupunguza kasi ya kuzaliana.
Tanzania yachota Sh45.7 bilioni kupambana na mabadiliko tabianchi Chilo ameongeza kuwa Serikali itaendelea kutafuta fedha zaidi kutoka kwenye Mfuko wa LDCF ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Wasomi wakumbushwa kusoma vitabu zaidi Wito umetolewa kwa vijana na Watanzania kujenga tabia ya kujisomea ili kuongeza maarifa na ujuzi.
Zanka, kata ndogo iliyokithiri vitendo vya mauaji, ubakaji Kata ya Zanka wilayani Bahi, imegubikwa na matukio ya mauaji na ubakaji, huku wananchi wakilalamika hatua stahiki kutochukuliwa na mamlaka husika.
Watu 4,866 walipwa kifuta jasho Sh1.1 bilioni Wizara ya Maliasili na Utalii imelipa jumla ya Sh1.13 bilioni kama kifuta machozi na kifuta jasho kwa watu waliopatwa na madhira yaliyotokana na wanyama wakali.
Serikali kunoa mawakili 600 Dodoma Zaidi ya Mawakili 600 wa Serikali wanatarajia kukutana jijini Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya siku tatu ili kuwanoa katika masuala mbalimbali ikiwemo suala la mafuta na gesi.
Waziri Mkuu: Wakurugenzi pelekeni watumishi vijijini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza wakurugenzi kupitia ikama ya watumishi ili maeneo walikozidi wapunguzwe kupelekwa maeneo mengine.
Majaliwa: Michango maendeleo shuleni haijazuiwa Serikali imesema michango yenye kupeleka maendeleo mashuleni haijazuiwa, isipokuwa inachangishwa chini ya wakuu wa wilaya au mtu atakayeteuliwa kwa niaba.