PRIME Usichokijua kuhusu ulaji wa uyoga na maajabu yake Kama ulikuwa hufahamu, uyoga una nyuzi nyuzi nyingi na hauna mafuta wala chumvi ya sodiamu.
Walioingilia mfumo ya benki, kujipatia Sh2 bilioni wakosa dhamana Raia wa Ghana, Valentine Kofi (45) na Watanzania watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuingilia mfumo wa benki na kuiba...
PRIME Kinachoendelea kuhusu dhamana ya mwigizaji Nicole, mwenzake Mwigizaji, Joyce Mbaga (32) maarufu Nicole Berry na mwenzake Rehema Mahanyu (31), mpaka sasa wanaendelea kusota mahabusu.
Aliyejifanya daktari Muhimbili, jela miezi sita Mahakama ya mwanzo Kariakoo, imemuhukumu John Batebuye (26) kifungo cha miezi sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kujifanya mtumishi wa Serikali wakati akijua kuwa ni uongo.
Watatu kortin wakituhumiwa kumuua ndugu yao Mkazi wa Bagamoyo, Fred Chaula (56) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya kumuua ndugu yao, Regina Chaula (62).
PRIME Masalia mwanamke aliyeteketezwa na mumewe kuzikwa Jumamosi Familia ya mwanamke aliyeuawa na mumewe na kisha mwili wake kuteketezwa kwa moto Kigamboni jijini Dar es Salaam, Naomi Orest Marijani, imetoa ratiba ya mazishi ya mpendwa wao.
Waliozamia Afrika Kusini wahukumiwa kulipa faini Sh30,000 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 36 kulipa faini ya Sh30,000 kila mmoja au kwenda jela miezi mitatu baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka nchini Tanzania na kwenda...
Upelelezi kesi ya ‘bwana harusi’ wakamilika Kesi ya jinai inayomkabili mfanyabiashara Vicent Masawe (36), ‘bwana harusi’, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu, upelelezi wake kukamilika.
Wakili akwamisha kesi ya Bwana Jela kughushi msamaha wa Rais Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga, Josephat Mkama na wenzake wawili, imekwama kuanza kusikilizwa.
Mahakama kutoa uamuzi kesi ya bosi wa Jatu, Machi 14 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Machi 14, 2025 kutoa uamuzi wa ama kumuondolea mashitaka na kumfutia kesi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya(33) au kuendelea na kesi...